Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa.

Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya chama.

Azimio la Mkutano Mkuu uliofanyika tarehe 19 Januari 2025 ukumbi wa White House Dodoma, ulipitisha jina la Samia kama sole contenstant na jina la John Nchimbi as running mate wake kwa nafasi ya umakamu. Azimio hili tayari limeshaonesha kuleta mpasuko wa ndani. Juhudi za vikao, kubembelezana na hata kutishiana zimekuwa zikiendelea ndani ya Chama ili kupunguza madhara ya msuguano uliosababishwa na uvunjivu wa Katiba na kanuni za chama.

Inasemekana, upo uwezekano wazee wa kazi chafu wakapewa orodha ya watakaoshughulikiwa ili mifumo iwabane kiuchumi au kuwawekea mazuio muhimu au hata kukabiliwa na changamoto ya maisha yao (kinga ya wale jamaa itahusika kutekeleza hili).

Hotuba ya Tundu Lisu hususan alipokuwa anateua Sekretarieti mpya CHADEMA, ailitamka kuacha nafasi moja ya uteuzi wa mjumbe, akielezea uwezekano wa kupokea wageni kutoka chama dola ambapo hilo lipo wazi hadi sasa.

Jambo linalochagiza wanyetishaji kupata nguvu ya hoja ya mpasuko wa ndani, ni kitendo cha CCM na viongozi wake wote kutosema lolote kuhusu Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CHADEMA. Hata Mwenyekiti wa CCM hajasema lolote hadi sasa hivyo hofu na uoga vinazidi kuongezeka ndani ya korido za Lumumba.

Ushindi wa Lisu na Heche umeleta hasara kubwa na unaweza kupelekea mabadiliko makubwa serikalini na kitengoni kutokana na uwekezaji mkubwa kufanyika na kuambulia kuvuna mabua. Inasemwa na wapenda haki ndani ya CCM kuwa, pesa iliyotumika kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni hasara na pigo kubwa sana dhidi ya CCM na Serikali. Kitendo cha polisi kushindwa kulazimisha (mbinu za vurugu) ushindi kwa mapandikizi ya CCM ndani ya CHADEMA ni dhahiri kuwa mfumo umecheza ngoma kubwa kuliko uwezo wake. Msemakweli ndani ya chama dola anasema, kitendo cha wawakilishi wa Kibalozi ndani ya Mkutano Mkuu hadi mwisho wa zoezi la uhesabuji wa kura na uwepo wa kundi kubwa la wananchi kuzingira ukumbi wa Mlimani City ambao walikesha siku zote za Mkutano hadi ulipofungwa tarehe 22 January 2025 usiku, ulisababisha nyenzo za kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ziendelee kubaki salama ndani ya magari ya polisi 19 yaliyozingira eneo hilo wakiwa na silaha kali.

MY TAKE

  1. Mungu anaifuta CCM kwa kasi kubwa na hakuna wa kuzuia
  2. Ushindi wa Lisu na Heche ni mpango wa Mungu
  3. CCM ipo hatua moja kukaribia kishindo cha MPASUKO wake
  4. Rushwa na mbinu zote chafu za ndani ya chaguzi za Chama vimekuwa kansa isiyopona na kuzalisha makundi na manung'uniko ndani ya chama.
  5. CCM ijiandae kisaikolojia kwa uchaguzi mkuu ujao kwani umma umeshaamka kupitia matukio yaliyojiri kuelekea uchaguzi wa CHADEMA ambao ulifunika kwa mbali sana mkutano mkuu wa CCM ambao umemalizika kwa kuongeza ufa wa mpasuko unaoendelea chamani
Kama kuna mtu amejifungia mahali anadhani kwamba kuna kitakachodumu hapa duniani nampa POLE
 
Kuna tofauti ya no ya kura za wajumbe na no ya kukubalika na wananchi ....samia ana asilimia 8% tu ya watanganyika wapumbavu wanao mkubali asilimia 92% awamtaki hata kumsikia ila kwenye no za kura za wajumbe wa ccm kapata asilimia 100% ... tumia akili
Hivi wewe unatumia kichwa au maliwato kufikiri?
Samia anayo mengi aliofanya kuliko wanaume suruali kama wewe.
Nadhani imefika wakati wa akili punguani zikachakatwa kwanza na akili badia yaani Artificial Intelligence.
Au ndio ninyi msiojitambua mliolishwa sumu ya mamba kuharibu kile Muumba alichokiumba.
 
Unaugua na kusaga meno ukiwa wapi mkuu?
 
Ccm wakiondoka tu vitu vyote wanavyo miliki yaani viwanja vya mipira, kumbi za mikutano, majengo wanayo pangishia wafanya biashara, viwanja, magari vitaifishwe na wale wanao waita vigogo wa chama waozee jela wote na mali zao zitaifishwe mtu asibaki hata na kikombe.
 
Ccm is hanging by a thread. A precarious culmination of years of embezzlement, corruption and murder.
 
Kuna tofauti ya no ya kura za wajumbe na no ya kukubalika na wananchi ....samia ana asilimia 8% tu ya watanganyika wapumbavu wanao mkubali asilimia 92% awamtaki hata kumsikia ila kwenye no za kura za wajumbe wa ccm kapata asilimia 100% ... tumia akili
Tatizo mbogamboga wamepigwa upofu.
 
Unaugua na kusaga meno ukiwa wapi mkuu?
Nazungumza na Elon Musk nikiwa ziwani Victoria,najivulia Sangara na Sato wa kumwaga kwa matumizi yangu tu.
Unataka kunitumia Tomahawk Missiles mimi niko na nyambizi.Nabadirisha muelekeo kila mil of the second.
 
Jifunze utu kwanza.
Watu walio wengi hawataki kuchangia maendeleo yao achia mbali kuchangia chama cha siasa.
Kitu gani kitawafanya vibonde wako wazaliwe upya kuchangia kule wasipovuna mfululizo bila kuchoka?
Chama kujitegemea sio kuvaa magwanda ya Savimbi.
Chadema inaenda kuwa Titanic in no time,unless mnajifunza abc ya kuitwa chama cha siasa kipinzani.
Haters mtakufa kwa Presha mwaka huu
 
Mambo ya Popular Vote Vs Electroral( wajumbe) vote
Kuna tofauti ya no ya kura za wajumbe na no ya kukubalika na wananchi ....samia ana asilimia 8% tu ya watanganyika wapumbavu wanao mkubali asilimia 92% awamtaki hata kumsikia ila kwenye no za kura za wajumbe wa ccm kapata asilimia 100% ... tumia akili
 
Nazungumza na Elon Musk nikiwa ziwani Victoria,najivulia Sangara na Sato wa kumwaga kwa matumizi yangu tu.
Unataka kunitumia Tomahawk Missiles mimi niko na nyambizi.Nabadirisha muelekeo kila mil of the second.
Hakika afya ya akili ni changamoto kwa taifa
 
Labda wewe, ndio umeshangaa, vinginevyo trend ya JF tu wote wenye akili timamu ambao walikuwa wanaopinga Lissu baada ya maazimio ya CCM wakatulia (ilikuwa butwaa fulani).

MaCCM na watanzania wasingeshangaa ‘bi-tozo’ angefanya vurugu kwa taratibu zao za chama. Wote tulitegemea huko mbele angekuwa mgombea kwa advantages alizonazo.

Walichofanya Dodoma ndio kimewakera watu wengi. Huyo mama kaonyesha ana tamaa na uchu mno wa madaraka na tamaa.

Japo hakuna lolote m la maana analofanya. Lakini anatumia rasilimali fedha za walipa kodi kuhakikisha anabaki madarakani and she impatient to ensure to secure that nomination.

Hiko ndio kllichowakera watanzania walio wengi.
 
Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa.

Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya chama.

Azimio la Mkutano Mkuu uliofanyika tarehe 19 Januari 2025 ukumbi wa White House Dodoma, ulipitisha jina la Samia kama sole contenstant na jina la John Nchimbi as running mate wake kwa nafasi ya umakamu. Azimio hili tayari limeshaonesha kuleta mpasuko wa ndani. Juhudi za vikao, kubembelezana na hata kutishiana zimekuwa zikiendelea ndani ya Chama ili kupunguza madhara ya msuguano uliosababishwa na uvunjivu wa Katiba na kanuni za chama.

Inasemekana, upo uwezekano wazee wa kazi chafu wakapewa orodha ya watakaoshughulikiwa ili mifumo iwabane kiuchumi au kuwawekea mazuio muhimu au hata kukabiliwa na changamoto ya maisha yao (kinga ya wale jamaa itahusika kutekeleza hili).

Hotuba ya Tundu Lisu hususan alipokuwa anateua Sekretarieti mpya CHADEMA, ailitamka kuacha nafasi moja ya uteuzi wa mjumbe, akielezea uwezekano wa kupokea wageni kutoka chama dola ambapo hilo lipo wazi hadi sasa.

Jambo linalochagiza wanyetishaji kupata nguvu ya hoja ya mpasuko wa ndani, ni kitendo cha CCM na viongozi wake wote kutosema lolote kuhusu Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CHADEMA. Hata Mwenyekiti wa CCM hajasema lolote hadi sasa hivyo hofu na uoga vinazidi kuongezeka ndani ya korido za Lumumba.

Ushindi wa Lisu na Heche umeleta hasara kubwa na unaweza kupelekea mabadiliko makubwa serikalini na kitengoni kutokana na uwekezaji mkubwa kufanyika na kuambulia kuvuna mabua. Inasemwa na wapenda haki ndani ya CCM kuwa, pesa iliyotumika kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni hasara na pigo kubwa sana dhidi ya CCM na Serikali. Kitendo cha polisi kushindwa kulazimisha (mbinu za vurugu) ushindi kwa mapandikizi ya CCM ndani ya CHADEMA ni dhahiri kuwa mfumo umecheza ngoma kubwa kuliko uwezo wake. Msemakweli ndani ya chama dola anasema, kitendo cha wawakilishi wa Kibalozi ndani ya Mkutano Mkuu hadi mwisho wa zoezi la uhesabuji wa kura na uwepo wa kundi kubwa la wananchi kuzingira ukumbi wa Mlimani City ambao walikesha siku zote za Mkutano hadi ulipofungwa tarehe 22 January 2025 usiku, ulisababisha nyenzo za kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ziendelee kubaki salama ndani ya magari ya polisi 19 yaliyozingira eneo hilo wakiwa na silaha kali.

MY TAKE

  1. Mungu anaifuta CCM kwa kasi kubwa na hakuna wa kuzuia
  2. Ushindi wa Lisu na Heche ni mpango wa Mungu
  3. CCM ipo hatua moja kukaribia kishindo cha MPASUKO wake
  4. Rushwa na mbinu zote chafu za ndani ya chaguzi za Chama vimekuwa kansa isiyopona na kuzalisha makundi na manung'uniko ndani ya chama.
  5. CCM ijiandae kisaikolojia kwa uchaguzi mkuu ujao kwani umma umeshaamka kupitia matukio yaliyojiri kuelekea uchaguzi wa CHADEMA ambao ulifunika kwa mbali sana mkutano mkuu wa CCM ambao umemalizika kwa kuongeza ufa wa mpasuko unaoendelea chamani
Porojo hizo tumezizoea sana wakichaa wameshinda wenyeakili wamewekwa nyuma
 
Mk
Hakika afya ya akili ni changamoto kwa taifa
Mkuu zamani nikiwa shule ya msingi nadhani darasa la tano au la sita 1965 au 1966 tulijifunza nyuki na kumbikumbi.
Mwalimu wangu aliyekuwa kamaliza tu darasa la nane miaka mitano ya nyuma alisema hivi namnukuu.
Viumbe hivi vina taratibu,kanuni sheria za kuendesha au kuboresha kichuguu.Akasema wana mfumo mahususi dunia nzima wa jambo hilo."
Je binadamu wa Tanzania mbona yupo yupo tu karibu kila jambo lakini hana miongozo thabiti ikiwemo Chadema.
 
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya watz hawamkubali samia hata ndani ya ccm yenyewe. Kitendo cha kulazimisha samia agombee mwaka huu kitawagarimu ccm wenyewe. Swala la bandari na wamasai ngorongoro bado halijatoka kwenye akili zetu.
 
20250112_203002.jpg
 
Back
Top Bottom