Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

Acheni kubishana sana. Wekeni tume huru uone huyo mama kama atatoboa kwa Lisu.
Kwani Lissu ndio kioo cha demokrasia?
Nadhani mtu wako ni kiwingu cha haki za binadamu.Ndio wale wale akina pangu pakavu tia mchuzi.
Yeye anatetea chama hatetei haki ya mtu mmoja mmoja.
Ukija kwa Mchungaji Mtikila pammoja kuanzisha chama chake alipeleka mahakamani na kushinda kesi ya kutaka MGOMBEA BINAFSI.Ingawa serikali ilikuja nayo kwa kupitia mahakamani wakatengua uamuzi huo.
Open your eyes na hawa wakoloni weusi.Hawana uchungu wa taifa hili bali kunenepesha matumbo yao.
 
Utakuwa huna marinda wewe
Kwa vile wewe unaingiliwa kinyume cha maumbile unafikiri kila mtu ni bwabwa kama wewe. Tamaa zako kutaka maisha yaliyo juu ya uwezo wako ndiyo zimekuponza watu wanajipakulia tu kama pombe ya ngomani. Shoga mwandamizi wewe.
 
Kamdomo kanaruhusu hisia.,Huenda ni yule nani wa kijani ambaye ni mbunge hakusimama kushangilia kupitishwa jina la mwenyekiti wa kijani kuwa mgombea wa urais 2025. Hata hivyo hakuwa amevaa sare ya chama.
Punguza kamdomo mkuu
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Alivyo mpumbavu hata haoni hilo......amekomaa kuzusha huu upuuzi wake akidhani unaksaidia. Yaani ccm ihangaishwe na lissu kweli?!!!!!!!! Wapumbavu kweli nyie.
Siyo Lisu kinacho watesa ni ule Uwazi na ukweli wa Uchaguzi
 
Porojo
 
Why and How?
Katika chama hiki kwa sasa JK Ndio mzee wa Chama mwenye ushawishi na kujua mizizi ya Chama na watu wake. Samia hakijui Chama hata kidogo,hana mizizi na watu kwenye mfumo.


Leo ni ngumu sana kwa mtu kutaka kugombania fito za Chama wakati kikwete yupo.
Nitakupa mfano:Ulisikia siku ya mkutano mkuu wakati wajumbe waliopangwa wanamlazimisha Samia kupitishwa kama mgombea wakati muda bado?

Aliulizwa Kikwete na Samia mzee hapa tunaendaje?

Kwa hali ya kawaida jibu lingekua moja kati ya yafuatayo:

1.Ifunguliwe nafasi kwa majumbe wote kama kuna ambae anataka kutia nia ajitokeze ili Chama kiweze kuwasikiliza hoja zao akiwemo samia, so kinyan’ganyiro kingeanza upya.

2.Zipigwe kura za Ndio za Ndio au Hapana kumpitisha Samia

3.Muda bado wasubiri siku maalumu ya kuteua wagombea.


Nafikiri umenielewa
 
Yule wasiyempenda kaja.
 
Na wewe ulete uthibitisho au takwimu zako. Aliyeanza kutapika na kuleta uharo ni nani? Kama sio wewe? Unaandika kama umekatwa kichwa. Haya leta research yako haraka.,kuhusiana na uliyoyaandika.
Your totally political bankrupt.
 
Mungu hayupo mkuu. Nikikutaka uthibitishe Mungu yupo utashindwa.

Sema kingine.

Hii kazi ya kusafisha chama, kusafisha nchi, tunafanya kwa sababu Mungu hayupo.

Angekuwapo tusingehitaji hii kazi.

Ifike muda tukubali kuchukua wajibu wa kufanya kazi wenyewe kwa kuelewa Mungu hayupo.

Dhana ya Mungu imewekwa na watawala ili kukuteka akili yako usijipiganie wewe mwenyewe umtegemee Mungu.

Ndiyo maana Mwamposa anaua watu kwa mafungu lakini husikii akishitakiwa hata siku moja.

Ndiyo maana makanisa na misikiti vinatumika kisiasa kupumbaza watu.
 
51% vs 49% Maana yake Chadema imepasuka Msambani yaani katikati 🐼
Samia ameshindana na nani?
Amezuia upinzani kwa kukiuka taratibu. Kimsingi huo wa kumpitisha ni uamuzi batili, null and void sababu haukufuata kanuni, taratibu, sheria za CCM.

Process yote inabidi irudiwe upya ikifuata taratibu za chama. Mtu jasiri mmoja ndaninya CCM asimame na ku- challenge huo uhuni. Warioba?
 
Acha mvua inyeshe tuone panapo vuja
 
Mungu huwa anafuta vyama vya siasa?
 
Mkuu
Usihofu nakuelewa. Lakini ninakuahidi panapo majaaliwa mwaka huu nitaandika makala maalumu kuhusu uwepo ama kutokuwepo kwa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…