Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sasa si nimekuruma umsbuhudie Jenifa matendo ya Mungu au?Nazingatia ibada kwa sasa mkuu😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si nimekuruma umsbuhudie Jenifa matendo ya Mungu au?Nazingatia ibada kwa sasa mkuu😅
Tukaifanye wote hiyo kazi.😅Sasa si nimekuruma umsbuhudie Jenifa matendo ya Mungu au?
Hapana nahisi atajaribiwa mimi sio mtu mzuri🤣Tukaifanye wote hiyo kazi.😅
Kijana,unataka kutoa msaada?mnamuonea, wa kumsaidia amsaidie, asiyeweza atulie
Kuna mwanangu mmoja very humble pia ni introvert ana CPA age 28 msaidie huyu jamaa yangu....kazi hana naumia mimi.Aisee kumbe ni Tp wakuu! hatari sana.
Nikajua ni mtu ana uhitaji kabisa
Nilitaka nimuunganishe na jamaangu alikuwa anahitaji binti wa kumsaidia kazini kwake
Swhemu ya namba ungeweka e-mail yakoHello watanzania naitwa jenipha nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
Naunga mkono hii.Swhemu ya namba ungeweka e-mail yako
Mara nyingi employee wa !
JF wapo serous katika privacy so utapigwa Sana simu na wrong people.
Nenda Recruitments agency ziko nyingi .....drop CV wengine watakuambia create account weka CV etc....humu utapata dhihaka...zaidi...( cv people africa....etc tafuta utaziona....) nenda Erolink kaombe kazo Call Center Agent kama uko Dar....kuanzia kupata nauli....Hello watanzania naitwa jenipha nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
Kama alisoma kwa mkopo wa Serikali napo unamshauri nini?.Congrats ila ningekushauri ile hela ya ada ungejiajiri tu mwenyewe, ajira ni ngumu sana na ukiipata hailipi ada yako uliyotumia, anyway kila la kheri
Wastaafu hawana baya.😃Ngoja vizee vistafu vije kukunanga humu😄😄
Kaja sehem isiyo sahihi.Nenda Recruitments agency ziko nyingi .....drop CV wengine watakuambia create account weka CV etc....humu utapata dhihaka...zaidi...( cv people africa....etc tafuta utaziona....) nenda Erolink kaombe kazo Call Center Agent kama uko Dar....kuanzia kupata nauli....