Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ref niliyotumia ni ile ya Safari yale ya Kenya... tafuta utaona. Msafara ulikuwa na watu idadi hiyo!!Hao sabini ume kokotoa wapi? Tanzania kila mtu anajua kila kitu
Acha kulalamika,kila kitu unalalamika,unajipa presha na maradhi bure,kuwa na furaha na kutabasam ni dawa pia.Kwanini akipanda ndege huwa hakuna ulinzi wa msafara wake kama ilivyo barabarani au angani hakuna maadui adui zake ni sisi walalahoi ambao hatuwezi kupanda ndege?
Acha kulalamika kila kitu,kuwa na furaha,utajitia presha na maradhi bure.Kuwa na furaha na kutabasamu ni kinga na tiba ya maradhi.Sio kweli kwamba ameokoa fedha, wanaomshauri Mh rais wapo na interest zao hasa kwa masuala ya per diem.
wameweza kumwingiza chaka kwa sababu Rais anatakiwa asafiri kwa ndege yake lkn kwa sababu inabeba abiria wachache wameamua kumdanganya kwa kuwa aghalabu ndege yake yenye kubeba abiria 18 kuna wengi wangeachwa kwenye msafara na ndio maana wanamdanganya wana save pesa lkn kwa idadi wa delagation ya watu 70 anaosafr nao ni dhahiri upo upotevu mkubwa wa fedha zinazolipwa kama per diem and accomodation.
Lakini kiusalama kwa kweli bado kusafiri na ndege binafsi si afya sana kwa mkuu wa nchi!!
Mama ajitazame!
Hata mimi sikumwelewa alichoandika huyo jamaa.Ndege binafsi au ulikusudia kusema Ngege yenye abiria wengine?
Siku nyingine amtume makamu wake kwa BODABODA tuokoe pesa nyingi zaidi.“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji.
Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria.
Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji
View attachment 2127338
Urais unae utamu au nasema uongo ndugu zangu?
Na mimi naomba Eeeh Mungu nisaidie niwe rais
Mbona ni raha jamani
Ni vigumu kuwa na jibu moja kwani inategemea sana kama alisafiri peke yake akiwa abiria wa kawaida wa business class au aliongozana na entrouge kubwa ya wasaidizi ambayo yote ililipiwa business class. Kama alikuwa na watu kumi tu huko business class ambao walipangiwa kutokuwa na delay yoyote kwenye connection flights, tayari ni nafuu kwenda na gulfstream ambayo Kikwete alikuwa akisepa nayo kila kona ya dunia kuliko kutumia commercial airlines.“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji.
Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria.
Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji
View attachment 2127338
😂😂🤣😅😆😁😄😃😀Ni vijipesa vidogo tu havifiki ata cent 5 kwa pesa tulizo pata kwenye safari
Ni vigumu kuwa na jibu moja kwani inategemea sana kama alisafiri peke yake akiwa abiria wa kawaida wa fbusiness class au alingozana na entrouge kubwa ya wasaidizi ambayo yote ililipiwa business class. Kama alikuwa na watu kumi tu huko business class ambao walipangiwa kutokuwa na delay yoyote kwenye connection flights, tayari ni nafuu kwenda na gulfstream ambayo Kikwete alikuwa akisepa nayo kila kona ya dunia kuliko kutumia commercial airlines.
hakuna sababu ya kulinganisha na ATCL wakati kuna ndege ya rais ya masafa marefu kuliko hizo za ATCL. Ile Gulfstream ya rais inaweza kupiga non-stop kutoka Dar hadi uwanja wowote wa kimataifa duniani.
Wa kukutoa kwenye lindi la umaskini ni ubunifu wetu wenyewe, na kujituma. Msaada au mikopo ni nyongeza tu ya kujaribu kutukwamua tulipokwama.Tunakopa fedha nyingi sana lakini matumizi yake hayatutoi kwenye lindi la umaskini.
Na ndio wazungu wanavyotaka tufanye.
Hivi kweli unaelewa haya mambo au basi muhimu unapinga tu? Pesa inabanwa wakati unapanga budget huko bungeni wanaweza kukataa sio unaomba Mia unapewa halafu mwisho wa mwaka umetumia 20 kawaida hupewi tena 100 ukiomba na pesa usipotumia kwa ilichopanga haina maana inapekwa kufanya matumizi mingine nje ya budget. Budget ya maendeleo inapangwa msiwe basi kila kitu kupinga tu.Kumbe issue ni budget na siyo matumizi na kubana ajili ya wananchi? shame on you
Nchi hii tunashida pesa ya kupiga ipi? kupanda ndege? Hivi ukimpa mkeo alfu 20 ya chakula ukarudi ukakuta chakula mezani hapo katumia 15 tu 5 kafanya matumizi mingine utasema kapiga? pesa ya budget kama mfano ofisi ya Raisi wanapeleka bungeni kuomba kiasi fulani na kuna kuwa na details ya gharama zote ikipita ni juu ya ofisi ya Rais kutumia kwa mujibu wa maombi yao kama iliombwa 100 kwa ajili ya usafiri basi watumie 0-100 kwa usafiri tu wala hawezi kwenda kuchukuwa ya chakula kutumia kwa usafiri. Ndio maana auditor kazi yake kupitia mahesabu je ulitumia 100 kuna invoice zililipwa kwa ajili ya usafiri au invoice hakuna na pesa hakuna hapo ndio wanauliza hii pesa imeenda wapi sasa hicho cha juu ni kipi. labda Mama kapanda Emirates na kuomba cha juu Emirates. acheni siasa katika professional job.Kwa hiyo kwenye bajeti ukiweka na hela za kupiga siyo issu?? Kisa ya kupigwa imo kwenye bajeti?
Peleka ujinga wakoHivi kweli unaelewa haya mambo au basi muhimu unapinga tu? Pesa inabanwa wakati unapanga budget huko bungeni wanaweza kukataa sio unaomba Mia unapewa halafu mwisho wa mwaka umetumia 20 kawaida hupewi tena 100 ukiomba na pesa usipotumia kwa ilichopanga haina maana inapekwa kufanya matumizi mingine nje ya budget. Budget ya maendeleo inapangwa msiwe basi kila kitu kupinga tu.
Umenena vyema mkuu, maraisi wote husafiri na ndege zao binafsi, zile zipo special kwa shughuli hizo,ni za masafa marefu,na hutumia muda mfupi angani,kwa mfano kutoka belgium au ufaransa c zaidi ya saa 6-7 ila ukipanda commercial inabidi utumie muda mrefu mpaka Dubai ubadilishe ndege uanze kuja, naona gharama ndio zinazidi, kuliko ndege binafsi ambayo inafly destination to destination. na ni special jet kwake,na usalama ni mkubwa zaidi, kwani hata calibrated altitute ni kubwa kuliko commercialSio kweli kwamba ameokoa fedha, wanaomshauri Mh rais wapo na interest zao hasa kwa masuala ya per diem.
wameweza kumwingiza chaka kwa sababu Rais anatakiwa asafiri kwa ndege yake lkn kwa sababu inabeba abiria wachache wameamua kumdanganya kwa kuwa aghalabu ndege yake yenye kubeba abiria 18 kuna wengi wangeachwa kwenye msafara na ndio maana wanamdanganya wana save pesa lkn kwa idadi wa delagation ya watu 70 anaosafr nao ni dhahiri upo upotevu mkubwa wa fedha zinazolipwa kama per diem and accomodation.
Lakini kiusalama kwa kweli bado kusafiri na ndege binafsi si afya sana kwa mkuu wa nchi!!
Mama ajitazame!