Msikilize Mzungu akitoa sababu za Sub-Saharan Africa kuwa Masikini

Nilikisoma Mkuu na nafkiri ni nayo kwa library hapa....Tatizo lako ni moja Hujibu unaleta new fact hapa nikikujibu naendeleza mzigo wa maswali ambayo umeyapapasa tu.
Mimi hapo sipo kuwin argument lakini ku-discuss.
Bahati mbaya sana kila mtu amekuja na dhana zake before argument ambazo anaamini ni sahihi.
Mimi siwezi ni kakupa history yote ya ulimwengu lakini foundation na why tupo hapa sio rocket science
hiyo upeo wa kawaida wa kufikiri unatosha.
 
Hii sikuiona😂😂😂ni mzungu sasa hivi kakuambia usidai haki zako za msingi.
 
Kumbuka ku facilitate yote haya, wanatumia viongozi "puppets"...hawaji na mitutu ya bunduki kulazimisha viongozi wetu waingie mikataba ya kijinga ya gas, dhahabu etc, wanatumia wanatumia wanasiasa wetu hawa hawa kutumaliza sababu wanajua viongozi wengi wa afrika hawana best interests za watu wao at heart, wapo tayari kufanya lolote kuabudu wazungu Hutu tukiangamia. So don't blame a white man, they simply doing that for their people, labda swali la msingi, sisi tunafanya for who?
 
Sio wazungu tu me simlaumu mtu yeyote.
Hao viongozi wamezalishwa na jamii yetu so tunavuna tulichopanda.
 
Atakubishia hapa, atasema tatizo lipo kwetu sote, sote tupo hovyo, subiri utaona majibu yake.
 
Atakubishia hapa, atasema tatizo lipo kwetu sote, sote tupo hovyo, subiri utaona majibu yake.
Kwanini mnapinga hatuna jamii ya ovyo?
Kuanzia mtendaji mpaka raisi ni watu wa ovyo then useme tatizo ni viongozi tu?
Kwa nin africa tu ndio tuwe na viongozi wa ovyo?
 
Another New fact.....Ukiamini kitu ni kweli unapaswa Kuthibitisha mjomba Nafahamu Historia ya Ulimwengu na nafahamu tunaigawa kwa vipindi fulani.

Mimi sihitaji kuwin ila nahitaji majibu

¤Kabla ya Ukoloni Africa ni nini? Muafrika ni nani?
¤Kwanini haikua inajulikana Ulaya na kwanini mahusiano yake na Ulaya ni yenye malalamiko tokea mwanzo?
¤Namna ya maisha Africa ilikuaje kabla ya wazungu?
La Mwisho Uingereza imewahi kutawala Robo tatu ya Dunia walitumia mbinu zinazofanana kote? kama sio Africa ilitawaliwa kwa mbinu zipi?

Hii itakupa picha ngumu ya ni namana gani Pori lilifunguliwa kwa nyanja zote.
 
Mugabe alipoingia mara ya kkwanza uraisi media zao zilimpigia upatu ni reformer huku watu wake wakimuona ni msalit.
Alipoanza kuwafukuza kwenye umiliki wa ardhi ambayo More than 90% waliimiliki, ukawa mwanzo wa ugomvi na vikwazo
kutoka western.
Sema mugabe aliitumia vibaya elimu yake kuibomoa nchi yake
 
Hahaha!!!! Duuh what is your concern mkuu?
Hit the point acha kuzunguka.
mada ni kwanini Africa haiendelei basi.
 
Kwanini mnapinga hatuna jamii ya ovyo?
Kuanzia mtendaji mpaka raisi ni watu wa ovyo then useme tatizo ni viongozi tu?
Kwa nin africa tu ndio tuwe na viongozi wa ovyo?
Watu wa Hivyo wapo kote ila tunatofautiana wingi tu wa hao watu....Ndo maana nilianza kwa kukuuliza unafahamu lolote kuhusu China na sekeseke lake la mabadiliko?

Au Renaissance ya Italy pamoja na Enlightment period.....Hizo nyakati ndo zilizopunguza wapumbavu huko kwao Kutoka Kipindi cha Dark Age

Kwanini Ukwepe kulinganisha Two continents at 15century....Kwanza ni nani Alimtafuta Mwenzake? Mzungu Au Muafrika.

Leo tunalalamika Rwanda wanazidi kuwa smart kutuzidi na ushawishi wao unakuwa kila siku..Mara wanawaibia wakongo....Smart generation ita prosper hii inaanzia nyumbani kwako. Mfundishe mtoto kumlalamikia mzungu in the name of Ideologies uendeleze Matatizo
 
Viongozi wabovu ni zao la malezi ya hovyo toka kwa wazazi wetu.
Jamii ya hovyo utoa viongozi wa hovyo
That is the fact..
Ni ukweli mchungu huo ambao lazima tuumeze ili tupone.
Watu wanakwambia viongozi wa Africa ni wa hovyo lakini hawakwambii kwa nini ni wa hovyo.
Uki waambia tatizo liko kwenye jamii wanapinga, naomba watuambie tatizo liko wapi tofauti na kwenye jamii.
 
Aristotle alipata kusema

“Give me a child until he is 7 and I will show you the man.”​

Vitu vyote unavyo vifanya ukiwa mtu mzima vinatokan na ulichojifunza mpaka ulipofkia
miaka saba.
You're very smart guy...haya ndio mambo huwa nawambia watu, jamii yetu imeharibu, haya mambo ni matokeo tu ya jamii mbovu, kama tunataka jamii I transform lazima tuone namna ya watoto wetu wanavyokuwa. It's something very powerful ila watu wachache watakuelewa sababu wengi tumelelewa hovyo, garbage in, garbage out.
 
Rwanda wana nini cha kujivunia ndg?
Mtu ukiambiwa uishi Tanzania au Rwanda ni kweli utachagua kuishi Rwanda?
Nadhani somo la propaganda lilikupita..
Mimi nachojua mwanzo wa Africa kupotea ni uvamizi wa Alexander the great na baade kumaliziwa
na Roman empire.
Kama tuki-compare before Alexander the great manaake Africa ilikuwa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…