Msimamo mkali wa Lisu ndio uliomfanya Mbowe atoke gerezani

Lissu ndiye aliyeleta wanunuzi wa Bandari na Misitu ya Tanzania?

Au mgao wa Pikipiki za Mama ndio unaokuzuzua?
eti anataka kuiuza chadema kwa mabwenyenye ya magharibi

jamaa ana dharau sana kwa wanachadema kwa tamaa na mdomo wake
 
Mbona unasahau Mbowe alivyohangaika huyo Lissu alivyotwangwa risasi?
 
ana ukali gani kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ana mdomo na makelle tu acha upotoshaji gentleman 🐒
Huyu atakataa kama vile amekuw programmed kukataa,naweza ita roboti ya kukodi ya mbogamboga.
 
Kwa kweli Lissu anaweza kuonekana ana msimamo mkali lakini Tanzania ni nchi legelege sana hata mtu akiwa na msimamo wa kawaida anaonekana ana msimamo mkali.

Mambo anayoongelea Lissu ya haki za binadamu, uwazi, usawa, simple logic tu, si extreme. Tatizo ukimwambia Ntanzania kwamba kupata kazi uliyosomea ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu, kwa sababu yeye hajui katiba wala haki za binadamu, na wewe Lissu ni mtqalamu wa sheria na haki za binadamu, anaweza kukuona wewe Lissu ni extreme.

Ni sawa na watu wanaosema fulani ana Kiingereza kigumu sana, wakati kiukweli ni Kiingereza cha kawaida sana tatizo Watanzania wengi hata Kiingereza cha kawaida tu ni mgogoro, hivyo ukiongea Kiingereza cha kawaida kimataifa, Tanzania kinaonekana kigumu.

Na kabla watu wasiojua kusoma kwa ufahamu hawajanishambulia kuwa namdogosha Lissu, sina nia ya kumdogosha Lissu, naonesha kuwa Lissu si extremist hivyo, namtetea Lissu, tatizo ni Watanzania wengi wanacheza chini ya kiwango mchezaji akicheza kawaida anaonekana anakimbia sana.

Nchi nyingine mtu kama Lissu ndiye mbunge average.
 
Mbona unasahau Mbowe alivyohangaika huyo Lissu alivyotwangwa risasi?
Kama hujasoma cuba huwezi kuelewa,nikusaidia kitu hapa, umewai ona anajipiga risasa kwa ajili kuwaminisha uma, hiyo ni mbinu ya kishadow sumbuse kukodi chopa?
 
Sure lisu aishi miaka mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…