THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Vipi ACT mmepata wakristo wa kutosha ili chama chenu kisionekane kuwa ni cha kidini? Mmefanya jitihada gani ACT isionekane ni chama cha ujiji kinachofadhiliwa na MACCM? Zitto atahamia lini ACT? Nakumbuka saana waraka wenu wa usaliti mliposema:
Waislam wengi tunajua chadema wana chuki nasi sema hawaidhihirishi wazi wazi.
Kwa hiyo umekopa kauli kwa Msigwa wa CHADEMA kutetea kambi ya CCM na SACCOS ya ZITTO?
Kwa hiyo waislamu mmehamia ACT kutengeneza jumuiya ya kiislamu baada ya CCM kuwabebesha kashfa ya ugaidi; na wachaga na watu wa kaskazini mnaowachukia ndani ya ACT na kuwatukana kila siku wamekimbilia CHADEMA au vipi?..
Mapimbi kama nyinyi tu with your sad destiny ndiyo wenye utaahira wa kuja kyanika maisha yenu ya ulaghai na utapeli mitandaoni ili kuwarubuni na kuwatapeli watu.
Why shoud i do that na ili iweje.
I am not such stupid...i am not such dumb kufake maisha yasiyo na uhalisia ili uonekane una influence kumbe ni mchimba chumvi tu.
Muhtasari wa SWOT analysis unaonyesha kwamba strength na opportunities za tunayemtaka ni nyingi sana zikilinganishwa na weaknesses zake na threats dhidi yake. Aidha ukichambua zaidi utaona kwamba weaknesses za tunayemtaka nirepairable na vikwazo dhidi yake pia ni rahisi kuvikabili na kuvisambaratisha. Tukishamaliza maandalizi ya mkakati huu tukaonana na mhusika mkuu na kumpa ushauri akatulia na kufanya kazi, mkuu aliyepo hatafua dafu. Tunahitaji kutekeleza mkakati huu kwa siri kubwa ili mkuu aliyepo aendelee kubweteka na ndiyo maana hata lugha iliyotumika ni ndani hapa ni ya pekee. Tunahitaji tunayemtaka asionekane kama kuna kitu anafanya na tunafurahi kwamba kuna wakati alitangaza kwamba hana nia ya kugombea tena waliopo wanatosha. Ikitokea vyombo vya habari vikamuuliza tena hiyo ndiyo iwe kauli yake ili kuendelea kumfanya mkuu aliyepo asihangaike na hivyo kuja kummaliza kirahisi. Aidha katika utekelezaji wa mkakati kama tutakavyoeleza hapo baadaye, tunayemtaka atajitenga mbali asionekane hata kuwa karibu na sisi.
Vikao vyetu na yeye vitafanyika mara chache sana na mahali pa faragha kupita kiasi ikiwezekana hata nchi jirani.
Wamechukua Maoni ya CHADEMA kwa tume ya Katiba na pia maoni juu ya mchakato wa Bunge Maalumu la Katiba.
When we tell you guys muache uchaga na. Ukanda kwenye chama na siasa zenu we do not intend to insult chaga people.
Tunamaanisha kweli kwamba kwenye chama hiko muache ukabila na uuungu mtu.
Fanyeni demokrasia kweli na acheni demokrasia magilini.
Kwani kuna ubaya waislam wakizipenda sera za ACT??
Thats what we call Democracy...uhuru wa kuchagua.
Kama chadema ilivyoamua kufanya ukabila kuwa number one qualification ya kuaminika nayo si ndiyo demokrasia yenu??
Mko huru kufanya hivyo.
Thats what we call democracy.
We utakua umechanganyikiwa. Eti wamechukua maoni ya Chadema!! Na Chadema walichukua wapi? So stupid like your Chairman Mr. Zero Mbowe.
Msukule wa Zitto na saccos yake inayochangiwa na CCM unataabu sana. Umri wa kugombea umeshadadiwa saana na kibaraka wa CCM Zitto na Januari si wananchi..
Sasa kwani ni uongo??
Mtu kama mbowe form six failure akili ndogo kama ile itaweza vipi ongoza akili kubwa na kisha mambo yakaenda sawa??
With what kind of qualification inayomfanya awepo pale as chairman kama sio ule uchaga wake na ubabamkwe na mtei tu??
Elimu ndogo na duni aliyenayo mpinzani wetu ambaye ndiye mkuu wa taasisi yetu kwa sasa. Kwa sasa ni kiongozi pekee katika nchi yetu anayeongoza taasisi kubwa asiye na elimu ya shahada huku taasisi yetu ikiwa inaongoza kwa kuwa na wasomi waliobobea katika kila nyanja. Hii ni kejeli hasa kwetu sisi ambao tumekuwa tukiwasema wenzetu kwamba ‘akili ndogo' inaongoza akili kubwa. Kimsingi tumekuwa tukijisema kwa kukubali kuongozwa na mtu mwenye akili ndogo.
Ndio tatizo hili la kufikiri kwa kutumia moyo badala ya akili. Msingi hapa ni kama unaamini kuwa maoni yale yaliyokusanywa na tume ya Warioba hayakuwa ya wananchi au yalipikwa, kama unaamini ni ya wananchi na unataka katiba ya wananchi then hupaswi tena kuchuja.
Maana kama waliosema iwepo serikali tatu (wananchi) ndio haohao npia waliosema kuwa umri wa urais ushushwe.Sasa unapaswa ujitie akili za kiuendawazi kuyashupalia hayo ya kwanza (ya serikali tatu) kwa kigezo kuwa ndivyo walivyotaka wananchi na wakati huohuo ukayapinga (ya umri) ambayo yalitakiwa na wananchi walewale.
Kuhusu mwenendo wa MM kuanzia sasa:
Ni maoni yetu pia kwamba kuanzia sasa MM aenende katika mwenendo ambao utarahisisha ushindi. Mfano tunapendekeza afanye yafuatayo kuanzia sasa:
Apunguze ukaribu na viongozi wa serikali na wa chama tawala na awe crical zaidi na utendaji wa serikali nje na ndani ya bunge.
Ashiriki kikamilifu katika shughuli za taasisi yetu zikiwamo vikao vyote vinavyomhusu, operesheni mbalimbali, chaguzi ndogo, nk.
Kwa hyo ACT mnataka Muungano imara lakini Tanganyika na Zanzibar ziwe legelege? Uimara wa Muungano utaletwa serikali mbili legelege ambazo zipo zipo tu? Tanganyika na Zanzibar imara zitajenga Muungano Imara.
Kwa hiyo Zitto ni lazima awe mwenyekiti wa ACT kwa sababu ni mhutu? Ameunganisha ACT na CCM kwa sababu anataka kuoa mtoto wa mfalme? Vikao vya ACT ndivyo vinaratibu matamko yenu mitandaoni? Rejea waraka wa usaliti kwa mujibu wa kitila:
Dalili ya akili ndogo...
Nadhani mijadala ya vijiwe vya kahawa ingekufaa zaidi kuliko hapa..
Tutahakikisha tuko busy kupost mambo mema na mazuri yatakayokuwa yakifanywa na MM kila wakati na kuzidi kusambaza sifa zake njema kila inapotokea nafasi. Atakayefanya kazi hiyo ni sisi wengine wala si yeye! Pia tutahakikisha kila post ya kumchafua inapatiwa majibu bila kutumia ID yake inayojulikana. Ni vema aidha akatupatia majibu na sisi kuyapost ama afungue ID mpya kabisa ambazo hazijawahi kuwepo kwenye mitandao halafu ndo awe anazitumia kujibu lakini kwa kuzingatia tuliyokwishayazungumza hapo juu yaani kutofanya kwa emotion na kuepuka jazba lakini pia kushauriana na watu wa karibu kabla ya kutoa majibu kwa jambo lolote linalomhusu.
ACT mmeonyesha msimamo madhubuti kwa maslahi ya taifa.