THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Vipi ACT mmepata wakristo wa kutosha ili chama chenu kisionekane kuwa ni cha kidini? Mmefanya jitihada gani ACT isionekane ni chama cha ujiji kinachofadhiliwa na MACCM? Zitto atahamia lini ACT? Nakumbuka saana waraka wenu wa usaliti mliposema:
Waislam wengi tunajua Chadema wana chuki nasi sema hawaidhihirishi wazi wazi.