Mkuu JokaKuu, with a due respect, this is a very serious allegations!, do you have any solid evidence to prove this?.
P
CCTV zile sii zake, yeye ni mpangaji tuu kaingia kwenye nyumba, kazikuta, baada ya tukio lile mwenye CCTV zake akazichukua camera zake, this has nothing to do with Kalemani!.
P
Utaniulizaje mimi habari hizo wakati humu ndiyo kunasemwa kuwa Magufuli ndiye aliyeagiza shambulizi la Lissu ila mwenyewe JPM hakuwahi kuzungumzia hilo suala, nachojua ni kwamba hao wawili Lissu na Magufuli walikuwa haziivi ila kujua sababu za JPM kutaka kumuuwa Lissu siwezi kujua.
Kama Magufuli sio muhisika hivyo hao wahusika wenyewe ni watu wazito, muhimu we endelea kuamini kuwa muhisika ni Magu na wengine tunatoa nafasi ya kwamba muhusika anaweza kuwa mwengine pia...angekuwa hajahusika angekanusha tuhuma za mara kwa mara toka kwa TL kwamba yeye JPM ndiye aliyeamuru auwawe.
..pia angeitisha uchunguzi ili waliohusika wakamatwe na yeye asafishwe kutokana na tuhuma hizo.
..kwangu mimi huo ni ushahidi mzito wa kimazingira kuwa JPM alihusika.
Hata ningekuwa mimi ndio rais nisingekuja kuzungumzia hilo suala kwamba et nikanushe hata kama kweli najua sihusiki, yani kweli ulitaka Rais aanze kujieleza kuwa sio mimi niliyoagiza shambulizi la Lissu?..Jpm hakuwahi kukanusha tuhuma hizo.
Hata ningekuwa mimi ndio rais nisingekuja kuzungumzia hilo suala kwamba et nikanushe hata kama kweli najua sihusiki, yani kweli ulitaka Rais aanze kujieleza kuwa sio mimi niliyoagiza shambulizi la Lissu?
Kama ni simple hivyo mbona Samia hafanyi huo uchunguzi ili kujilikana huyo muhusika na kusafisha nchi?..kwa suala la MAUAJI kwangu mimi nadhani ni muhimu angekanusha.
..muhimu zaidi angeitisha UCHUNGUZI yeye binafsi na hiyo ingesaidia kuonyesha kwamba amechukizwa na unyama ule.
..tukio lile limeichafua nchi yetu. Tumeonekana hatuna tofauti na nchi zenye tawala za ki.shenzi zinazoua wapinzani wake.
Kama Magufuli sio muhisika hivyo hao wahusika wenyewe ni watu wazito, muhimu we endelea kuamini kuwa muhisika ni Magu na wengine tunatoa nafasi ya kwamba muhusika anaweza kuwa mwengine pia.
Hivi Sokoine na Karume waliowaua walikamatwa eehhh?..namtuhumu kutokana na ushahidi uliowekwa wazi mpaka sasa hivi.
..ushahidi unaomuunganisha yeye au watu wake na shambulizi lile ni kitendo cha WALINZI kuondolewa eneo na siku ambayo Lissu alishambuliwa.
..Sasa JPM kwa nafasi yake na vyombo alivyokuwa navyo alikuwa na uwezo wa kuwakamata waliohusika.
..Swali linakuja kwanini hawajakamatwa? Je, inahitaji miaka 4 toka 2017 mpaka 2021 alipofariki kumnasa aliyeondoa walinzi na ku-trace nani alimpa maagizo?
..
Sasa kwani serikali imekufa?..kwa suala la MAUAJI kwangu mimi nadhani ni muhimu angekanusha.
..muhimu zaidi angeitisha UCHUNGUZI yeye binafsi na hiyo ingesaidia kuonyesha kwamba amechukizwa na unyama ule.
..tukio lile limeichafua nchi yetu. Tumeonekana hatuna tofauti na nchi zenye tawala za ki.shenzi zinazoua wapinzani wake.
Labda chuma cha mamakoKalemani...Ni chuma
Hivi Sokoine na Karume waliowaua walikamatwa eehhh?
Naomba kumbukumbu TAFADHALI...
Kama ni simple hivyo mbona Samia hafanyi huo uchunguzi ili kujilikana huyo muhusika na kusafisha nchi?
hahahaha eti waziri wa ovyo kuwahi kutokea!!so JM ni waziri wa ovyo sana eeh??
January kafanya hovyo hovyo sana, hana tailent kbs ya kuwa kiongozi halafu hapo alipo anajiona wanamkubali kumbe hovyo kbsTangu Tanzania ipate uhuru wamepita mawaziri weeengi sana wa NISHATI
Walikuja na kuondoka.. miongoni mwao ukitoa siasa hakuna aliyefanya maajabu kumshinda mwingine. baada ya kuja kwa January imekuwa nongwa sana kama vile january siyo mtanzania?
Jamani kalemani alifanya kipi cha kujivunia hata iwe nongwa kuondolewa hapo TANESCO
Angalizo kwa Moderators....Kalemani ajitokeze kueleza kilichorekodiwa ktk CCTV cameras zake siku aliyoshambuliwa Tundu Lissu.
Mtu ukiwa rais wa nchi, una deal na vitu solid only, hizo tuhuma za TL kuwa mhusika ni JPM aliziwasilisha wapi?, au ulitaka rais wetu pia anze kujibu kila tuhuma za mitandaoni!...angekuwa hajahusika angekanusha tuhuma za mara kwa mara toka kwa TL kwamba yeye JPM ndiye aliyeamuru auwawe.
Sio kazi ya rais wa nchi kuitisha uchunguzi wa tukio la kihalifu hiyo ni mandate ya jeshi letu makini la polisi. Uchunguzi ulishindikana kutokana na kukosekana kwa mashahidi wawili pekee wa tukio hilo, maana tunahisi hata silaha walizotumia ni silencer, hakuna mtu mwingine yoyote aliyeona chochote wala kusikia lolote zaidi ya wawili hao. Mpaka sasa wanasubiriwa!.pia angeitisha uchunguzi ili waliohusika wakamatwe na yeye asafishwe kutokana na tuhuma hizo.
Kwenye criminal liability kunahitajika kitu kinachoitwa solid evidence na sio circumstantial evidence. The burden of proof lies with the prosecution, kwa vile hakuna any investigation going on kuhusu tukio hili, jinai haina time frame, TL na dereva wake waje waandike maelezo uchunguzi uanze.kwangu mimi huo ni ushahidi mzito wa kimazingira kuwa JPM alihusika.
Hizo ni sababu tu zinazokufanya umtuhumu Magufuli ni ushahidi wa kimazingira, upo sawa ila ndio nasema kwamba na sisi wengine tunaangalia na upande mwengine wa shilingi kwa maana yawezakuwa Magufuli asiwe ndio aliyeagiza hilo shambulizi ikawa ni watu wengine na hao wahusika wakawa ni watu wazito ndio maana wakaweza hata kuondoa ushahidi...namtuhumu kutokana na ushahidi uliowekwa wazi mpaka sasa hivi.
..ushahidi unaomuunganisha yeye au watu wake na shambulizi lile ni kitendo cha WALINZI kuondolewa eneo na siku ambayo Lissu alishambuliwa.
..Sasa JPM kwa nafasi yake na vyombo alivyokuwa navyo alikuwa na uwezo wa kuwakamata waliohusika.
..Swali linakuja kwanini hawajakamatwa? Je, inahitaji miaka 4 toka 2017 mpaka 2021 alipofariki kumnasa aliyeondoa walinzi na ku-trace nani alimpa maagizo?
..