Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

Wewe ndiye mpumbavu na mkatili sana. Tena shetani kabisa unayefurahia mateso waliyoyapata watu wengine. Jambo hilo lingekupata wewe , baba, mama, mtoto au ndugu yako sidhani kama ungeandika utumbo ulioandika hapa. Mshenzi mkubwa wewe!!!
Narudia tena kusema...

Unune, ucheke, ukasirike na utukane kila tusi, ila, unaodhani kuwa waliumizwa watakuwa vilevile matisi na upumbavu wako, haitabadisha chochote

Unadhani dunia itasimama akiumia na ama kufa kwa mtu yeyote?

Unaodhani kuwa waliumizwa, ni bora kumshukuru Mungu kwa walivyo hivyo, kwa sababu kuna kufa kabisa!

Pumbavuu
 
Thibitisha hapa, na uwe tu mpole, matusi ni lugha isiyoeleweka, mpaka hapo sjselewa ulichoandika
 
Kwa nini watu waone hivyo kwenye utawala wa JPM? Wakati wa utawala wa JMK hatukuona hayo, utawala wa BWM hayakuwepo hata huu wa SSH hayapo; does this make any sense to you?
 
Pumbavu mwenyewe mbwa wewe
 
Mavi tu wewe huna lolote! Kila nikimsikia au kumsoma umbwa anayedharaulisha ule ufidhuli aliofanyiwa TAL ninashindwa kuvumilia. Narudia tena wewe ni Mavi tu!
Mkuu mnaojifanya hamuipend ccm ndo inawatumia umewahi kuwaza kwann kila ccm ikiwa weak na chadema huweka mgombea weak pia
 
Kwa nini watu waone hivyo kwenye utawala wa JPM? Wakati wa utawala wa JMK hatukuona hayo, utawala wa BWM hayakuwepo hata huu wa SSH hayapo; does this make any sense to you?
Mkuu Kuna tetesi Nyerere alihusika kifo Cha karume na sokoine hao n watu wa chama chake vipi wapinzani wake je? Yeye ndo alkua democratic?
 
Matahira hao achananao
 
Kwa nini watu waone hivyo kwenye utawala wa JPM? Wakati wa utawala wa JMK hatukuona hayo, utawala wa BWM hayakuwepo hata huu wa SSH hayapo; does this make any sense to you?
Ni kwa sababu Magufuli walimchukia kwahiyo kilichokuwa kinawangoza kufanya hivyo ni chuki, ila ukitizama kwa akili ya kawaida haingii akilini huyo Magufuli kuwa anauwa na kuteka tu watu hovyo. Mtu anakwambia Magufuli alimteka Mo na kumlazimisha amtaje Kikwete sijui kwenye ufisadi gani ili apate ushahidi wa kumkamata Kikwete na kumfungulia mashtaka yani kasahau kwamba rais mstaafu hawezi kushtakiwa yote ni chuki tu.
 
Mkuu Kuna tetesi Nyerere alihusika kifo Cha karume na kawawa hao n watu wa chama chake vipi wapinzani wake je? Yeye ndo alkua democratic?
Ndio tunaambiwa Nyerere alikuwa anawashughulikia wapinzani wake alikuwa hana mchezo.
 
Yupo kaburini bna.Achana na imani ya umizimu.Tukienda kufukua kaburi pale chato hatutamkuta?
 
Yupo kaburini bna.Achana na imani ya umizimu.Tukienda kufukua kaburi pale chato hatutamkuta?
Na funza waeshafanya yao. Tunachofurahia ni kuwa dhalimu hayupo kwenye uso wa dunia tena.
 
Yupo kaburini bna.Achana na imani ya umizimu.Tukienda kufukua kaburi pale chato hatutamkuta?
Kila binadamu ana miili miwili, mwili wa nyama, phiysical body ambao umeumbwa kwa udongo na mwili wa roho, spiritual body, ambao umeumbwa kwa spirit na ndio wenye pumzi ya uhai iliyopuliziwa na Mungu mwenyewe na pumzi hiyo ndio yenye Umungu ndani yake!.

Mwili wa nyama ni kasha tuu la kuubebea mwili wa roho, mtu anapokufa, kinachokufa ni kasha tuu, linazikwa na kurejea kuwa mavumbi. Mwili wa roho haufi, unaishi milele.

Mtu anapokufa kinachozikwa ni mwili wa nyama na shughuli yake ndio imeishia hapo, roho huwa imeacha mwili na kurejea mbinguni au motoni kuishi milele!.

Mwili huu wa roho ndio unaokwenda hukumuni na ndio utakao fufuliwa siku ya kiama, hivyo ukienda kufukua kaburi pale Chato utakutana na kasha tupu!. Mwenyewe yuko peponi mbinguni kwa Baba yake, yuko na Baba yake!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…