Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

Kwa kuwa ni muhuni atakiwi kusema yaliyo msibu au kutendewa?kwa kuwa ni muhuni ndio achomewe mali zake?au kwakuwa anataperi waumini wake ndio apangiwe njama za kumuuwa?au kuna halali ya kuuuwa aliyempa siri za yeye kuuwawa?
Kumbuka ujinga inaoutetea leo kesho zamu yako,
Angalia Nape kipindi cha miaka hiyo na sasa mwangalie Polepole anavyolalamika
Hii ni nchi yetu sote,palekebishwe panaposta hili
Tusitetee maovu
 
Kadhalika hakuna dola iliyoweza kupambana na kanisa na kuahinda
 
Kwahiyo na wewe unatak tumjambishe raisiraisi wetu. Akili ya panzi
 

Tulimvimbisha kichwa kichwa kabla au baada y kusema hayo; Kama Ni baada then ushujaa wake kapata Kwa mkewe haituhusu! Uthubutu wa hizo tuhuma Ni mzuri sana
 
Umeandika Mambo ya uhalisia,ila usimwite tapeli ni Mtumishi wa Mungu.
 
pesa na umaarufu huwafanya watu wawe vipofu wa akili,na kupungua kwa uwezo wa ku judge Mambo! nabii fungua macho uone,hizo pesa zisikufanye uww kipofu,na kuota kiburi!! Serikali/dola ni taasisi kubwa Sana, ndani yake Kuna vitengo vingi Sana!! fikili Mara 2 kabla hujainua kinywa!!! gwajima pamoja na uongeaji wake ,na mzee wa battle lakn hajawahi kujisahau -kuhusu kupima uwezo wa dola!! think twice!!
 
mbona umepanic hivi??

Mwingira amesema serikali yenu ya CCM ilitaka kumuua, sasa hapo kiburi chake ni kipi????
 
Kulikuwa na watu makatili kuliko JIwe Lakini Leo wako wapi?Mungu anaweza kuiondoa Serikali yeyote kwenye Dunia hii madarakani.Acheni kiburi!
 
Acha nikuheshimu tu kwa sababu tayari umeshasema askofu na si Askofu.

Naheshimu sana utofauti baina ya askofu na Askofu!
Zote sawa tu tofauti ni herufi tu. Acha uzwazwa. Wewe ndiye unayeamini kuandika mungu ni makosa? Jinga kabisa.

Mstari gani kwenye biblia umeandika kuanza na herufi ndogo ni ubatili? Jinga kabisa!!
 
Yuko wapi Azory Gwanda, Kanguye na Ben Saanane
Una maana gani? Unashangilia Serikali kuua raia? Unaona ni Sawa? Unashauri raia waendelee kukaa kimya hata wasipotendewa haki? Wanapouawa?
 
alichokifanya amekosea wapi?
 
Zote sawa tu tofauti ni herufi tu. Acha uzwazwa. Wewe ndiye unayeamini kuandika mungu ni makosa? Jinga kabisa.

Mstari gani kwenye biblia umeandika kuanza na herufi ndogo ni ubatili? Jinga kabisa!!
askofu Mwingira akiwa na Askofu Niwemugizi
 
BOT inaruhusu Vipi Transactions ambazo hazieleweki zipite?

Kikubwa Asionewe tuuu…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…