kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
View attachment 2847270
Nashangaa kuna upotoshwaji mkubwa sana unaendelea kwamba karuhusu ndoa, NO !! suala la ndoa bado litaendelea kuwa kati ya mwanaume na mwanamke
Alichosema ni kwamba karuhusu makasisi kuyabariki kitakatifu mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja,
Tujue utofauti wa ndoa na mahusiano
karuhusu makasisi kubariki wapenzi wa jinsia moja
😀😀😇😇😇bora kurudi mashahidi wa jehova tu