View attachment 2847270
Nashangaa kuna upotoshwaji mkubwa sana unaendelea kwamba karuhusu ndoa, NO !! suala la ndoa bado litaendelea kuwa kati ya mwanaume na mwanamke
Alichosema ni kwamba karuhusu makasisi kuyabariki kitakatifu mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja,
Tujue utofauti wa ndoa na mahusiano
Hivi unajua maanaa ya ndoa?..usimsemee papa nenda kasome Tena tembelea page ya BBC usome kwa kina,,,,papa huyu atakua papa wa Gigy moneyView attachment 2847270
Nashangaa kuna upotoshwaji mkubwa sana unaendelea kwamba karuhusu ndoa, NO !! suala la ndoa bado litaendelea kuwa kati ya mwanaume na mwanamke
Alichosema ni kwamba karuhusu makasisi kuyabariki kitakatifu mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja,
Tujue utofauti wa ndoa na mahusiano
BBC sio credible sourceHivi unajua maanaa ya ndoa?..usimsemee papa nenda kasome Tena tembelea page ya BBC usome kwa kina,,,,papa huyu atakua papa wa Gigy money
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwamba aliwabariki waendelee na ukahaba wao?Watu waache upotoshaji Yesu mwenyewe aliwabariki hadi makahaba.
Kuwabariki wapenzi wa jinsia moja, Kutawafanya watengane?Nilikuwa nataka kuandika uzi kama huu ila nikasema ngoja nipitie kwanza nione kama utakuwepo maana najua JF kuna watu wenye akili na wanaojua kusoma na kuelewa kilichoandikwa.
Watu wengi hawajaelewa tamko la papa Francis. Wamekimbilia ku judge tu ila hawajasoma hata tamko lenyewe.
Wamekimbilia tu kuanzisha nyuzi kiholela ila hata ukimwambia aweke hapa quote ya papa aliposema amebariki ndoa za jinsia moja atabaki kukutukana tu na kufokafoka bila hoja.
Asante mkuu kwa kuniwahi kuleta huu uz
Karuhusu nini? Hahaha hii nchi hii. Wazungu sio wa kuamini.Low mind wameibeba iyo habari kicwa kichwa na kudhani pope karuhusu ndoa ya jinsia moja
Hao wapenzi wa jinsia moja wana barikiwa kwa lengo lipi haswa?Low mind wameibeba iyo habari kicwa kichwa na kudhani pope karuhusu ndoa ya jinsia moja
Uelewi chochote kasome habari kamili sio umesoma heading tu umebeba ivo ivoHao wapenzi wa jinsia moja wana barikiwa kwa lengo lipi haswa?
Ugawaji wa hizo baraka unakuwa kuwabariki kwa mahusiano yao mazuri kwamba waka endeleze mapenzi ya jinsia moja?
Wewe si umesoma huo waraka,Uelewi chochote kasome habari kamili sio umesoma heading tu umebeba ivo ivo
Hao wapenzi wa jinsia moja wakisha barikiwa wata tengana?
Kuwabariki wapenzi wa jinsia moja ndio kutawafanya waachane?BBC sio credible source
Mnapenda kujudge wengine unakuta nyie ndo mna midhambi ambayo hata haielezeki.
Kanisa n la wote hta waovu wanapewa nafasi Ili wapate nafasi ya kutubu na kumrudia Mungu.
Sio wakristo sema wakatoliki. Wewe wakristo unawajua au unawasikia tu?Wakristo wanachekesha sana Yani mnahangaika kupaka paka Rangi Maneno wakati msimamo wa papa wenu ni ubariki ushoga Kwa waumini wote wa kanisa katoliki na hafichi huo msimamo.Juzi tu hapa papa kamfukuza kasisi wa kimarekani vatcan kisa anapinga ushoga,maoni yangu ndugu wakristo msikilizeni kiongozi wenu mkitaka Kuoana madume Kwa madume msisite kwenda kanisani kubarikiwa na jumapili mwende kanisani na mabwana Zenu(waume Zenu)