Msipotoshe kuhusu Papa na ndoa za jinsia moja

Low mind wameibeba iyo habari kicwa kichwa na kudhani pope karuhusu ndoa ya jinsia moja
Shetani ni nyoka. Fuatilia mbinu za nyoka kunasa mawindo yake.

Kama Kuna manufaa unayapata katika Ukatoliki wako,dumu kwa bidii.
 
Papa kakuwin,wewe ni miongoni mwa wengi. Kwa akili yako unadhani atasema directly,unadhani hawahofii kupoteza waumini zaidi?.

Akili kichwani.
 
Endeleeni kudanganya,kudanganywa,kudanganyika na kudanganyana,mwisho wa yote upo.
 
Sema wakatoliki,sio wakristo kwasababu papa sio kiongozi wa wakristo wote duniani,wako wakristo ambao hawahusiani na papa wala na huo ujinga.
 
Kama alichokiongea papa ufafanuzi wake ndio huo ulioutoa hapa basi huyo papa wako kaongea ujinga.Msipomfunga speed gavana ataliingiza kanisa katoliki kwenye mtanziko wakiimani utakaolivuruga kanisa kwa miaka mingi.Sio ajabu kukatokea mgawanyiko mkubwa kutokana na kauli za namna hiyo.
 
Kwamba aliwabariki waendelee na ukahaba wao?

Je wapenzi wa jinsia moja wakisha barikiwa wata tengana?

Kwamba kuwabariki wapenzi wa jinsia moja kutawafanya waachane?
Abariki na wezi basi!

Maana hapo kabariki ushoga na uzinifu.

.
 
At least karuhusu mahusiano yabarikiwe, watu wamechoka uchumba sugu.
 

 
Umeamua kujibu nje ya hoja. Mwizi asipewe baraka, muuaji asipewe baraka, msema uongo asipewe baraka, mtenda dhambi nyingine asipewe baraka, hayo ni mafundisho ya Kanisa gani la Kikristu? Kanisa la Kristu lipo katika misingi ya msamaha, na tena hukumu ni juu ya Mungu, sio mwanadamu! Nje ya hapo hayo sio mafundisho ya Yesu Kristu
 
Hivi kwanini wazungu wanataka kutulazimisha kuamini kuwa ustaarabu wao ndiyo ustaarabu wa Dunia?
Ahsante kwa kutuletea hii Imani nzuri toka middle East, Babu zenu wakatusaidia kutafsiri Bible, now we can read it and understand it clearly with the help of the Holy Spirit.
Bible iko wazi,wazinzi,wafilaji...hawawezi kuurthi ufalme wa mbinguni, Sasa hizi salakasi zinatokea Wapi?
Nini kipo nyuma ya kakikundi haka kadogo ka homosexual society?[emoji24]huu siyo ulemavu why do you think we need to toralate it?
Kuna haja kuwa na Afro- Catholicism different from that of Europe and America,mapadre waruhusiwe waoe [emoji24][emoji24]
Siyo mnakuja kutetea kauli za kizinzi
He was quoted saying that" blessings does not need moral perfection [emoji24][emoji24][emoji24]how can God bless a devil? without moral perfection you can't be blessed by God.
Kwanini awe concerned with 2% of world's population out of 8 billion people around the world? Yaani asilimia 2 ya mashoga wa ulaya Wana umuhimu kuliko waafrika zaidi ya bilioni moja?[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kasisi anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja: 'Nililia nilipolipata kanisa hili'
https://bbc.in/3v3vygK
 
Alichosema Papa
Ni kuwa ...kanisa katoliki...duniani kote
Liwapatie baraka zote wanandoa wa jinsia moja na pia kanisa libariki ndoa za jinsia moja

Yaani kusiwepo na ndoa ya jinsia moja itakayo gomewa kufungwa
Na kanisa katoliki duniani kote!!!

Sasa!!! Kwa tamko hili...
Msitafsiri kuwa PAPA AMEHARALISHA ushoga!!!!!

Hizo tafsiri zenu..bakini nazo!

Ww umemwelewaje??
 
Alichosema Papa
Ni kuwa ...kanisa katoliki...duniani kote
Liwapatie baraka zote wanandoa wa jinsia moja na pia kanisa libariki ndoa za jinsia moja

Yaani kusiwepo na ndoa ya jinsia moja itakayo gomewa kufungwa
Na kanisa katoliki duniani kote!!!

Sasa!!! Kwa tamko hili...
Msitafsiri kuwa PAPA AMEHARALISHA ushoga!!!!!

Hizo tafsiri zenu..bakini nazo!

Ww umemwelewaje??
 
Acha kupindisha ukweli! Papa amehalalisha mapenzi ya jinsia moja ndo maana ameruhusu kubariki ndoa zao😂
Kwani nini maana ya kubariki?
 
Maelezo mengi mno. Hili limepita muda wa nyaraka tu kusomwa madhabauni tu ndio kimebaki.

NB: Katika kitu kanisa au taasisi za dini zinatakiwa kuacha ni kuweka demokrasia katika dini. Misingi ya dini ibaki vilevile mtu hataki ni aondoke sio kupindisha maandiko kuwajumuisha wale walioamua kukaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…