Msipotoshe kuhusu Papa na ndoa za jinsia moja

Bora hata ungekaa kimya nadhani hata wewe mwenyewe ukisoma tena hutaelewa. Mkubali tu Papa kawavua nguo hadharani basi.
 
Huyu bwana Mkubwa anajua alichokiandika kwelii!!?🤔🤔🤔
 
Soma tena ulichoandika
 
Yaani hii ruhusa ya papa, kuruhusu ndoa za jinsia moja kubarikiwa ni mwiba mchungu sana kwa wakatoliki. Tulipokuwa tukiwaambia huyo kiongozi wao anamwakilisha shetani wakasema tuna wivu, haya sasa yako peupe
 
Unaotoa mapovu kwelikweli,wakatoliki tumeruhusiwa kulana na Kisha tunabarikiwa,tafuta janaume lenzio mwenda Kwa padri Kisha mkalane
 
nafikiri umeona opposition kubwa duniani umeona kuwa hata MAASKOFU wame mkataa papa , tazama hata baadhi ya MAASKOFU WA nchi ya Poland wamekataa kubariki wanaume walio oana (couples) ...

Utata wa swala la papa ni kwamba unaendelea kuwapa baraka watu ambao wataendelea kuungana kuwa mashoga ..... watu ambao hawapo tayari kuacha kuishi kwenye dhambi ya Ushoga... ... yaani hiyo dhambi haiwaumi

ni bora kumbariki mtu ambaye ni mwizi, ambaye anapata uchungu wa kutenda hiyo dhambi ya wizi

lakini hawa LGTBQ Wanatafuta namna ya kukubalika katika jamii kwamba wapo kwenye uhalali wa kuishi hivyo

Tunaamini mlevi akija kupata baraka HAJI ya BIA ZAKE WALA POMBE ZAKE

lakini anacho fanya pope ni kwamba MLEVI AJE NA Pombe zake tumbariki akiwa bado ameshikilia Pombe na Hana mpango wa kuziacha


so watu wanachotamani ni watu wa LGTBQ Waitwe kanisani wafundishwe namna ya kuacha hiyo tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…