Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

Hivi kamanda unafikiri wakuu wetu wa vyombo vya ulinzi ni majua? Ebu acheni kubagaza viongozi kamanda... maana ata muda huu hupo free na safe kwenye key board kutokana na wao kutimiza wajibu wao.
Naomba uje...

Hivi mtu kama wewe mwenye grandiosity unajisikiaje?

Njoo ujitetee
 
Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Then it happened.
 
Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Hawana Cha kuogopa mbona ,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…