Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Yani uko gado ni mtu achague tu anakujaje😎
 
Shalom Money Dr
Shalom Kanisa
Shalom baby boy

Kwa Yesu raqhaa 😹🌸
 
Mwaka wa 7. Sijawahi zama pm kwa mtu ujue we litoto

Na hapa jf naweza nikawa ni Mimi tu
Hata mimi, sijawahi chat na kiumbe chochote pmπŸ€ΈπŸ½β€β™‚οΈ

Halafu kwanini huzami? Unazingua bana! Inatakiwa tupime upepo aisee.. haiwezekani miaka 7 upo tu wenzio miezi miwili tu wanajilia kimyakimya 😎
 
Mkuu Mshana Jr, haya yote uliyowaonya hawa wanawake wa sosho midia ndiyo yanawaweka mujini. Sasa inawezekanaje waache wakati wanasaka folowas wapige pesa?

Wanapojianika sosho midia wanaonekana kwa mapedeshee wanawatafuta na kuwadinya kisha wanawapa chekeli ili waendelee kusavaivu hapa mujini.
 
Hata mimi, sijawahi chat na kiumbe chochote pmπŸ€ΈπŸ½β€β™‚οΈ

Halafu kwanini huzami? Unazingua bana! Inatakiwa tupime upepo aisee.. haiwezekani miaka 7 upo tu wenzio miezi miwili tu wanajilia kimyakimya 😎
Ndiomana nataka ni force king!

Nimeona ugonjwa wangu mahala
Na shuhuda za watu wanadai lipo
 


Nimegundua hayo mavitu yako hayafanyi kazi. Kama mpaka leo hujaangusha kitu fasta πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Uganga muachie Tekelo aliyekuwa anawarubuni watu miaka ile ya 80. Eti anatoa wachawi...eto mwanadamu kageuka chatu Buguruni.

Ujinga kitu kibaya sana. Imagine mpaka leo watu wanaogea maji hata ya watu wasiopumua ili kusafisha nyota. Na zimegoma kutakataπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…