Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Amen AmenShalom Money Dr
Shalom Kanisa
Shalom baby boy
Kwa Yesu raqhaa πΉπΈ
Ila ujue niliroga sana hata hapa JFπππΏNimegundua hayo mavitu yako hayafanyi kazi. Kama mpaka leo hujaangusha kitu fasta π π π π
Uganga muachie Tekelo aliyekuwa anawarubuni watu miaka ile ya 80. Eti anatoa wachawi...eto mwanadamu kageuka chatu Buguruni.
Ujinga kitu kibaya sana. Imagine mpaka leo watu wanaogea maji hata ya watu wasiopumua ili kusafisha nyota. Na zimegoma kutakataπππππ
Hahahaha π daaah sio nsega mamnyong'ode π€Na jana ulikuwa kigamboni, unanipa kazi kukukamata we dogoπ¬
Waliosema tekelo si mganga sikumbili tatu maembe kudumla. Ndiyo ilikuwa nyimbo zetu tukiimba tekelo.Nimegundua hayo mavitu yako hayafanyi kazi. Kama mpaka leo hujaangusha kitu fasta π π π π
Uganga muachie Tekelo aliyekuwa anawarubuni watu miaka ile ya 80. Eti anatoa wachawi...eto mwanadamu kageuka chatu Buguruni.
Ujinga kitu kibaya sana. Imagine mpaka leo watu wanaogea maji hata ya watu wasiopumua ili kusafisha nyota. Na zimegoma kutakataπππππ
Em nikatambikie mizimu ya kwetu. π

Hahhah utakwenda na maji wewe!Ndiomana nataka ni force king!
Oyyaaah! We si una miaka 7 kwenye game unakwama wapi? Humu ndivyo ilivyo hata mamongβo wanasifiwa ukijipa libichwa imoπNimeona ugonjwa wangu mahala
Na shuhuda za watu wanadai lipo
Good time yanini mimi nataka pesa bnπShida yako nini mamaa? Ebu nipe nafasi ya kukupa good time. Mbona me kwa ground mambo supa tuu π€£ nenda kwa kapachino ukanywe makahawa huko shauriyako.
Aisee ukihisi joto kichwani (π©) unahisi mwili mzimaπ€¦π½ββοΈAaah teh teh yule dogo wa mwisho huwa anauliza kwani kuna shida. Ss ntampa majibu kuwa shida ipo kwa head broo
We ngoja nikuache tu huenda uko vyombo!Hahahaha π daaah sio nsega mamnyong'ode π€
Hamna hata ninatumia dose mazee πWe ngoja nikuache tu huenda uko vyombo!
Ndiyo maana yake km upupu vile kila ukigusa imoAisee ukihisi joto kichwani (π©) unahisi mwili mzimaπ€¦π½ββοΈ
Sawa tuone πHapana Kwakuwa sio wa kusutana ni wa kuelimishana
Huyu nae utakuta ana mke etiπ€£View attachment 3667254
Kuweka HADHARANI taarifa ya KUTONGOZWA ambayo ni FARAGHA, ni kuthibitisha UWEZO MDOGO WA KUTUNZA SIRI ZA NCHI.
Kimaumbile, MWANAUME ameumbwa kuwa JASIRI hata ANAPOTONGOZWA. Siyo SIFA NZURI kwa Kiongozi KUKIMBILIA POLISI kwa jambo dogo tu la KUTONGOZWA.πππ
Manyanza
Pole Sana shida nini?Hamna hata ninatumia dose mazee π
Aisee kumbe wambea tumeandikiwa waraka na nimepitwa ππππ