Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

ila kununua Vieite 400 inatosha
Ndio mkuu hizo vieite ni muhimu katika maendeleo zinazidisha ufanisi kazini. Halafu ni mali za umma siyo binafsi. Ukiacha mwengine anaendelea kutumia.

Tufanyeni kazi tuacheni porojo za kindez
 
Hii gorilla style ndio ikoje meja?
guerrilla warfare, also spelled guerilla warfare, type of warfare fought by irregulars in fast-moving, small-scale actions against orthodox military and police forces and, on occasion, against rival insurgent forces, either independently or in conjunction with a larger political-military strategy.
 
Duh mimi wa st. Mkapa nimetoka kapa
 
Haya ni magari ya jwtz yakiwa chini ya himaya ya magaidi. Tunawaombea sana wapiganaji wetu muwe salama, badobTaifa tunawategemea.
 
guerrilla warfare, also spelled guerilla warfare, type of warfare fought by irregulars in fast-moving, small-scale actions against orthodox military and police forces and, on occasion, against rival insurgent forces, either independently or in conjunction with a larger political-military strategy.
Kibiti,Rufiji na Mkuranga ,Dar es salaam, Tanga na Mwanza walijaribu hizo Guerilla war wakidhani wako Nigeria kwenye boko haramu au Somalia kwenye Alshabab wakivamia vituo vya polisi kuua Askari ns kuua viongozi wa serikali kilichowakuta Tanzania hawaji sahau vita zao za Guerilla war

M23 walishawahi ua Askari wa Tanzania kilichofuata ukiuliza M23 yeyote hana hamu na JWTZ walivurumishwa na kuuawa chinjachinja kama kuku bila dua ya kuchinja

Kama kweli wamewazingira subiri moto wake damu ya Askari mmoja wa JWTZ itaondoka na vifo vya magaidi sio chini ya mia tano

Wajiandae kuuawa kama kuku kama kweli wamechokoza mzinga wa nyuki
 
Hapana. Ningekuwa mwanajeshi hapa nchini probably nisingejua haya au ningejua kidogo tu. Ninazo sababu za kuamini hivi
We bwana wee pamoja na kuponda kooote huko basi useme tu ukweli pia kuwa mkiwekwa ambush kupona ni asilimia 00.005 umeshindia kuponda weee hujui hata speknaz wakitiwa kwenye ambush na SAr tu kutoka mbinde?
 
Acha kusema hivyo..kibiti ile ilikua ni real deal..wale jamaa wameua sana watu kule.

#MaendeleoHayanaChama
Magaidi waliua kweli hadi polisi kilichofuata magaidi walichinjwa na kuuawa na kupotezewa waliotoka nchi zingine ndugu zao hawajui hata makaburi yao yaliko

Ndio masalia manusura wakatimukia Mozambique kama kweli wamezingira JWTZ ni kuwa sasa inaanza vita rasmi ya kupambana nao

JWTZ haijawahi katika historia yao kushindwa operation ya kivita nchi yeyote

Wajiandae kukiona cha mtema kuni hao magaidi
 
Kama ni ambush basi,ukipigwa ukichomoka ni nadra sana watu kupona

Ova
Bora mrangi umesema nilichotaka kusema ukipona ambush iliyowekwa kitaalamu kabisa hufi tena lakini kuna lopo lopo mmoja yeye ni kuponda jeshi mwanzo mwisho nahisi ndio walee walikataliwa kwenye usaili
 
Kibiti,Rufiji na Mkuranga ,Dar es salaam, Tanga na Mwanza walijaribu hizo Guerilla war wakidhani wako Nigeria kwenye boko haramu au Somalia kwenye Alshabab wakivamia vituo vya polisi kuua Askari ns kuua viongozi wa serikali kilichowakuta Tanzania hawaji sahau vita zao za Guerilla war

M23 walishawahi ua Askari wa Tanzania kilichofuata ukiuliza M23 yeyote hana hamu na JWTZ walivurumishwa na kuuawa chinjachinja kama kuku bila dua ya kuchinja

Kama kweli wamewazingira subiri moto wake damu ya Askari mmoja wa JWTZ itaondoka na vifo vya magaidi sio chini ya mia tano

Wajiandae kuuawa kama kuku kama kweli wamechokoza mzinga wa nyuki
[emoji16] maigizo ya CCM
 
Back
Top Bottom