Hilo ni tawi la CCM na mbinu zao wanachukua huko.Nasikia frelimo wamepigiwa kura nyingi kuzidi mpaka idadi ya watu wote waliojiandikisha kupiga kura
Mfano watu waliojiandikisha kupiga kura ni elf 40 alafu wao wameshinda kwa kura elf 70
Wamekwama sasa mbele ya watu wa Mozambique wao walijua bongo hapaHilo ni tawi la CCM na mbinu zao wanachukua huko.
FRELIMO iliundwa Dar es Saalam na matawi yake ya kambi za wapigania uhuru wa msituni walijifichia na kufanyia mafunzo Morogoro.
FRELIMO wanayofanya ni mbinu zile zile za chama cha majizi.
Nakumbuka kwenye wwe kulikua na mechi inaitwa triple threat, mnakua 3 wote mnautaka mkanda ila baadae wawili mnaungana kumshughulikia yule mwenye nguvu kati yenu, mnamuondoa kisha mnabaki wenyewe mnaolingana nguvu kupigania mkanda.Kuna wakati ni bora maadui kuungana kumpiga adui yenu wote
Kama kweli, hapo patamu. Natamani iwe kama Syria ili Tanzania ifuatie.Source SABC: Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia zaidi ya wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki.
Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala.
Ni kweli kabisa, eti namwachia MUNGU hapana haipo .Khaki hupiganiwa wala haiombwi
Zamu ya chama cha majizi inakuja watatotelewa na wananchi wasio na itikadi za vyama na kativba mpya itapatikana.Wamekwama sasa mbele ya watu wa Mozambique wao walijua bongo hapa
Kauli ya jomo KenyattaBora kulala wataamka sisi ni marehem
Palikua na bunduki elfu sita gerezani?Source SABC: Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia zaidi ya wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki.
Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala.
Jeshi jipya mtaani6000 Ni Wengi.
Una maana gani mkuuMsumbiji utawala iliopo unamtafuta mungu maneno.
Watapata wanachokipata!
Msumbiji wamekaribia kujikomboa
Wanaing'oa CCM ya huko😂Msumbiji wamekaribia kujikomboa
Ndani ya siku Saba zijazo, Serikali iliyopo madarakani inapinduliwa!Una maana gani mkuu
Banana 🍌 🍌 republicSource SABC: Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia zaidi ya wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki.
Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala.
6000 ni takribani Brigedi+ ya askari wa miguu.6000 Ni Wengi.
Wacha frelimo iondolewe TU.6000 ni takribani Brigedi nzima ya askari wa miguu.
Kama wapo fit, kukabiliana nao zitahitajika Briged tatu ambazo kimuundo zinaunda Divisheni kuanza kuhangaika nao.
Sijaelewa Muundo wa jeshi la Msumbiji kama wana utayari wa kukabili issue kubwa namna hiyo.
Adui wa ndani kwa idadi hiyo ni majanga.
Watu 6000 wenye silaha ni wengi sana, wakiwa na dicsipline ya kijeshi tuhesabu kuwa Msumbiji imeshatumbukia kwenye matatizo tena kama yale ya Renamo.