Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Wanawaiga Ccm kughushi kura na kung'ang'ania madaraka.Wacha frelimo iondolewe TU.
Patawaka huko.6000 ni takribani Brigedi+ ya askari wa miguu.
Kama wapo fit, kukabiliana nao zitahitajika Briged tatu ambazo kimuundo zinaunda Divisheni kuanza kuhangaika nao.
Sijaelewa Muundo wa jeshi la Msumbiji kama wana utayari wa kukabili issue kubwa namna hiyo.
Adui wa ndani kwa idadi hiyo ni majanga.
Watu 6000 wenye silaha ni wengi sana, wakiwa na dicsipline ya kijeshi tuhesabu kuwa Msumbiji imeshatumbukia kwenye matatizo tena kama yale ya Renamo.
**** jamaa wa Maputo nawafahamu, jana wamenipigia kuwa wapo Masasi. Wanadai Msumbiji hakukaliki, vurugu ni kubwa mno. Wanamlaani sana Nyusi.Msumbiji kwa moto sana ngoja tusubiri hio January 15
Duuh hali ni mbaya alafu haya mambo huambukizana usishangae Tz kikatokea kitu kama hicho japo kuna intelijinsia kali**** jamaa wa Maputo nawafahamu, jana wamenipigia kuwa wapo Masasi. Wanadai Msumbiji hakukaliki, vurugu ni kubwa mno. Wanamlaani sana Nyusi.
Siyo kweliWamewafungilia Kisha watakuja kuwaibia wao wenyewe , elf 6 wanazani ni watu 6? Wasubili majibu watakapo anza kubakwa kama kuku
Sio kweli nini ? Hawajafunguliwa au wafungwa elf 6 hawawezi kufanya jambo mtaani tena!Siyo kweli
Wakivamia ikulu hao au bunge sio wachache wewe ndezi nini? 6000 unaona kidogo?6000 Ni Wengi.
Hatari sana.6000 ni takribani Brigedi+ ya askari wa miguu.
Kama wapo fit, kukabiliana nao zitahitajika Briged tatu ambazo kimuundo zinaunda Divisheni kuanza kuhangaika nao.
Sijaelewa Muundo wa jeshi la Msumbiji kama wana utayari wa kukabili issue kubwa namna hiyo.
Adui wa ndani kwa idadi hiyo ni majanga.
Watu 6000 wenye silaha ni wengi sana, wakiwa na dicsipline ya kijeshi tuhesabu kuwa Msumbiji imeshatumbukia kwenye matatizo tena kama yale ya Renamo.
Hata mie nimeshangaa wabunge wetu hawafiki mia 500 lakini tunawaona wengi, sasa wafungwa elf 6000 kweli?Wakivamia ikulu hao au bunge sio wachache wewe ndezi nini? 6000 unaona kidogo?
Unaamini wafungwa wote 6000 wageuke kuwa wezi Tena? Kwenye hao 6000 hata 100 hawatafika kuwa wezi Tena!Sio kweli nini ? Hawajafunguliwa au wafungwa elf 6 hawawezi kufanya jambo mtaani tena!
Allah akbar kama zoteWaandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki.
Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala.
Source: SABC
View attachment 3185240
Frelimo ni ccm BWaafrika na ulafi WA madaraka Ni kama wamelaaniwa
Kwahiyo walioko jera wote ni wezi na wabakaji?😂Wamewafungilia Kisha watakuja kuwaibia wao wenyewe , elf 6 wanazani ni watu 6? Wasubili majibu watakapo anza kubakwa kama kuku
Btbsio watu elf 6 na silaha elf 6 jiii ni exaggerating issuedHujui kuwa magereza ni jeshi na lina silaha?
FRELIMO NI ADUI MKUBWA KULIKO HAO WAFUNGWAKuwafungulia wafungwa msiojua wamefunga Kwa ajili gani? Waafrika sisi? Sijui hao maadui kuungana, unazani hao elf 6 wanawaza pamoja ? Mmm
FRELIMO NI ADUI MKUBWA KULIKO HAO WAFUNGWA
🤣🤣🤣🤣Nasikia frelimo wamepigiwa kura nyingi kuzidi mpaka idadi ya watu wote waliojiandikisha kupiga kura
Mfano watu waliojiandikisha kupiga kura ni elf 40 alafu wao wameshinda kwa kura elf 70