Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

Satires,siku tukiamka ..tumeshauzwa Ndugai hakuwa nauchizi alipotamk maneno haya!
 
Bampa tu bampa jamaa šŸ˜„

Ova
 
Hii ni lugha kinyumenyume........."washitiri".
 
....bingwa wa rivasišŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€
 
Nilishawahi kutinga kampuni ya CASPIAN walinichelweshea mpunga lakini wanalipa vizuri.
 
Kulikuwa na haja gani Rostom Aziz kuikimbia Camera? View attachment 2771295
Propaganda nyingine ni upuuzi sana. What tells you kuwa huyo ni Rostam? Hata kama ni Rostam, what tells you kuwa anaikimbia kamera? Mbona kuna waliogeukia kushoto, kulia na kuna wanaoangalia mbele, hao wanakwepa camera zipi?
Mbona hausemi kuwa amegeuka kuongea na huyo jamaa hapo nyuma?
 
Whether ni Rostam au siyo Rostam sioni kwa nini tujadili hoja kama hii. Kimsingi mtoa mada ni kiwakilishi cha Watanzania wengi wenye wivu wa mafanikio. Watu wanawachukia matajiri as if wale matajiri waliwanyang'anya mali zao.

Kwa taarifa yako mshana5 ma Rais wote duniani husafiri na wafanya biashara mashuhuri ili kuangalia fursa kati nchi na nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…