Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

Mkuu Okwi, OKW BOBAN SUNZU , heshima kitu cha bure!, tusiwachafue wahisani, wafadhili, washitiri na wadhamini, wetu kwa kuwaita majizi!. Huu ni utovu wa shukrani.
Laiti ungelijua kuwa hizi ziara za kutembelea Expo mbalimbali ni ziara za ufadhili unaofanywa na washitiri, kuanzia ile Expo Dubai iliyozaa matunda mema, ya DPW, na ziara hii nayo itazaa matunda. Just imagine ufadhili mkubwa kama kufadhili Royo Tua, mapesa mangapi yametumika?!, halafu mtu uje hapa uanze kuwaita wafadhili wetu ni majizi!, haikubaliki hata kidogo!.
P
Satires,siku tukiamka ..tumeshauzwa Ndugai hakuwa nauchizi alipotamk maneno haya!
 
Mkuu Okwi, OKW BOBAN SUNZU , heshima kitu cha bure!, tusiwachafue wahisani, wafadhili, washitiri na wadhamini, wetu kwa kuwaita majizi!. Huu ni utovu wa shukrani.
Laiti ungelijua kuwa hizi ziara za kutembelea Expo mbalimbali ni ziara za ufadhili unaofanywa na washitiri, kuanzia ile Expo Dubai iliyozaa matunda mema, ya DPW, na ziara hii nayo itazaa matunda. Just imagine ufadhili mkubwa kama kufadhili Royo Tua, mapesa mangapi yametumika?!, halafu mtu uje hapa uanze kuwaita wafadhili wetu ni majizi!, haikubaliki hata kidogo!.
P
Hii ni lugha kinyumenyume........."washitiri".
 
....bingwa wa rivasi😀😀😀😀😀😀
 
Nilishawahi kutinga kampuni ya CASPIAN walinichelweshea mpunga lakini wanalipa vizuri.
 
Kulikuwa na haja gani Rostom Aziz kuikimbia Camera?
20231004_085356.jpg
 
Kulikuwa na haja gani Rostom Aziz kuikimbia Camera? View attachment 2771295
Propaganda nyingine ni upuuzi sana. What tells you kuwa huyo ni Rostam? Hata kama ni Rostam, what tells you kuwa anaikimbia kamera? Mbona kuna waliogeukia kushoto, kulia na kuna wanaoangalia mbele, hao wanakwepa camera zipi?
Mbona hausemi kuwa amegeuka kuongea na huyo jamaa hapo nyuma?
 
Whether ni Rostam au siyo Rostam sioni kwa nini tujadili hoja kama hii. Kimsingi mtoa mada ni kiwakilishi cha Watanzania wengi wenye wivu wa mafanikio. Watu wanawachukia matajiri as if wale matajiri waliwanyang'anya mali zao.

Kwa taarifa yako mshana5 ma Rais wote duniani husafiri na wafanya biashara mashuhuri ili kuangalia fursa kati nchi na nchi.
 
Back
Top Bottom