Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Wanaokushauri betting sio watu wazuri hata kidogo!

Niliwahi bettia 50,000 ile kuamka asubuhi nikaumwa na malaria mbili!! Sasa hiyo pesa uliyonayo ukiibetia, kesho tutakukuta kariakoo unapiga yope katikati ya barabara ukiwa uchi!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa mwani anaweka yote kwa wakati mmoja jamani
 
Hakika mkuu
Kati ya biashara mpya 10, 9 zote hufa
 
Wewe mwanangu njoo nikuoe dada angu mzuri kumshinda Paula unaakili Sana asee me nilijaribu kufikiria inamaana hamna watu waliopitia hii njia ?? Mbna watu wanakatishana tamaa Sana.

All in all Kama ulivosema biashara zote zina changamoto zake baada ya kuzijua usizikimbie tafuta utatuzi 👍👍👍👍👍👍
 
Habari kuna sehemu nilikuwa nimeajiriwa sasa nimejikusanya na kupata milioni 5 baada ya mkataba wangu kuisha nifanye biashara gani ya kuingiza faida ya isiyopungua 30000 kwa siku ushauri wenu ni mhimu sana asanteni sana.
Fungua duka la simu
 
Nimechelewa kusoma huzi wako, bado unahitaji ushauri au tayari umeisha pata maamuz.
 
Yaap ushauri mzuri
 
Ukieka kwenye mabenki watakupa 2% to 7% (p.a) ila UTT anakupa 10% to 14% (p.a)
Mm ni mwanafunzi wa chuo katika kila boom naweza save 250,000/= Ila shida inakuja njia ipi ya kuhifadhi nikiacha kweny bank acc inakatwa kila siku.nikieka ndan natumia ...hii unaweza kunifaa kaka
 
Mm ni mwanafunzi wa chuo katika kila boom naweza save 250,000/= Ila shida inakuja njia ipi ya kuhifadhi nikiacha kweny bank acc inakatwa kila siku.nikieka ndan natumia ...hii unaweza kunifaa kaka
Utt inaweza kunifaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…