KIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,370
- 1,511
Hizo bajaj zinapatikana wapi?Kama una leseni na muda nunua TVS bajaj used ya 4m zipo nyingi tu ukomae nayo mwenyewe kufunga ef30 kawaida sana wanapiga mpaka 50,60 kwa siku.Utatumia kama laki 2,3 kufanya service ndogo inayobaki 800k acha kwenye acc kwa ajili ya dharula.
NOTE:Brand ni Tvs tu si nyingine