Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mm ni mwanafunzi wa chuo katika kila boom naweza save 250,000/= Ila shida inakuja njia ipi ya kuhifadhi nikiacha kweny bank acc inakatwa kila siku.nikieka ndan natumia ...hii unaweza kunifaa kaka
Kaka UTT itakufaa sana utakuja kunishukuru nakwambia Tommy 911
 
Huko mikoani mtu apaeleke mzigo gani au ajibebee tu?
 
Pia Leo nimepata connection ya frame kariakoo kwa mwezi 250k kama uko dar tunaweza kuonana tukapanga kama tukiridhiana
Mimi nina interest. Hiyo fremu iko Kariakoo sehemu ipi na hapo kunafanyika biashara gani au ni biashara gani inafaa hapo? Nauliza kwa sababu kila eneo Kariakoo kuna biashara yake au siyo!?
 
Yaap ushauri

Maelezo yake nasoma kwenye link uliyoweka juu huko hayaeleweki sijui ndio uchovu, fanya utoe darasa kiufupi tu utakua umenisaidia kitu.
Ingia kwenye website yao wana maelezo mazuri, ingawa ni mafupi. Hata hivyo, wana namba za bure unaweza kuwapigia na kuwauliza maswali yote. LAKINI cha ziada, ni kuwa kama uko DSM, basi nenda ofisini kwao pale SUKARI HOUSE, OHIO utapata all details. In fact mimi napanga kuwatembelea ili nijue kama naweza kuweka huko hela yangu badala ya kuweka benki ambao MAKAYO ni balaa!
 
Siyo kweli sana! Hebu fafanua Mkoko kisu! Huko risks ni nyingi sana kupita maelezo!
 
Uje utupe mrejesho man wengine tupo mkoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…