Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Hivi nyie mnatamani kweli kuiona kesho ya furaha nawashangaa watu wakija humu ushauri n bodaboda/bajaji au mama ntilie hv tutakuwa mabilionea lini?

5m m pesa nyingi kwa mtu ambaye anauchungu wa kutoka kimaisha Tanzania tupo zaidi ya watu 50m,

50millions people's n wengi mno na ndio mtaji tosha nenda nje ya mji angalia wanakosa nn na wanauhitaji wa kitu gani kwa Sana funga safari nenda mkoa ambao inaonekana haufikiki hata wilaya tathmini Biashara chapu nunua mzigo wa 2m peleka utapata MAJIBU.

Tuache kupeana mawazo ya bodaboda ambapo saiz wamekuwa kero Yan ukiwa msafi msafi ukitokea mbele yao kosa Yan karibu kijiewe kizima kinawasha pikipiki sasa ukiona hvyo n shida na risk ya pikipiki n kubwa kuliko kwenda kuiba bank
Huko mikoani mtu apaeleke mzigo gani au ajibebee tu?
 
Pia Leo nimepata connection ya frame kariakoo kwa mwezi 250k kama uko dar tunaweza kuonana tukapanga kama tukiridhiana
Mimi nina interest. Hiyo fremu iko Kariakoo sehemu ipi na hapo kunafanyika biashara gani au ni biashara gani inafaa hapo? Nauliza kwa sababu kila eneo Kariakoo kuna biashara yake au siyo!?
 
Yaap ushauri

Maelezo yake nasoma kwenye link uliyoweka juu huko hayaeleweki sijui ndio uchovu, fanya utoe darasa kiufupi tu utakua umenisaidia kitu.
Ingia kwenye website yao wana maelezo mazuri, ingawa ni mafupi. Hata hivyo, wana namba za bure unaweza kuwapigia na kuwauliza maswali yote. LAKINI cha ziada, ni kuwa kama uko DSM, basi nenda ofisini kwao pale SUKARI HOUSE, OHIO utapata all details. In fact mimi napanga kuwatembelea ili nijue kama naweza kuweka huko hela yangu badala ya kuweka benki ambao MAKAYO ni balaa!
 
Fanya biashara ya uranguzi wa madini na ukiona uranguzi ni risk bas kata kibali nazan akizid 500k ingia mikoan nunua madini lete dar uza.kwa mtaji wa million 5 ni ndogo sana ila nakuakikishia utafanya kaz kwa aman na faid yake ni nzuri zaid ya iyo unayotaka upate
Siyo kweli sana! Hebu fafanua Mkoko kisu! Huko risks ni nyingi sana kupita maelezo!
 
Ingia kwenye website yao wana maelezo mazuri, ingawa ni mafupi. Hata hivyo, wana namba za bure unaweza kuwapigia na kuwauliza maswali yote. LAKINI cha ziada, ni kuwa kama uko DSM, basi nenda ofisini kwao pale SUKARI HOUSE, OHIO utapata all details. In fact mimi napanga kuwatembelea ili nijue kama naweza kuweka huko hela yangu badala ya kuweka benki ambao MAKAYO ni balaa!
Uje utupe mrejesho man wengine tupo mkoani
 
Back
Top Bottom