Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Ukijua Kati ya mimi au wewe nani anataka kufanya hyo biashara huwez niuliza nikwambie nn cha kupeleka na mkoa gani hapo kaz n yako wewe kufanya research.Weye vipi? Kuna vitu vingi na kila mkoa au wilaya una mahitaji yake. Wewe ndio wajua what is needed where? Siyo suala la kutafuniwa!
Basi hayaUkijua Kati ya mimi au wewe nani anataka kufanya hyo biashara huwez niuliza nikwambie nn cha kupeleka na mkoa gani hapo kaz n yako wewe kufanya research.
Niliandika huko juu jitoe uingie mikoani, soma uelewe sikusema ukale nyama na bia
Asante kwa kunielewaBasi haya
I hope uliuelewa vizuri, wekeza maisha ni mfuko mzuri sana kwa malengo ya mda mrefuMe nilichagua wekeza maisha
Shukran sana mkuu kwa maelezo mazuriIngia kwenye website yao wana maelezo mazuri, ingawa ni mafupi. Hata hivyo, wana namba za bure unaweza kuwapigia na kuwauliza maswali yote. LAKINI cha ziada, ni kuwa kama uko DSM, basi nenda ofisini kwao pale SUKARI HOUSE, OHIO utapata all details. In fact mimi napanga kuwatembelea ili nijue kama naweza kuweka huko hela yangu badala ya kuweka benki ambao MAKAYO ni balaa!
Maelezo yake nasoma kwenye link uliyoweka juu huko hayaeleweki sijui ndio uchovu, fanya utoe darasa kiufupi tu utakua umenisaidia kitu.
Maelezo yake nasoma kwenye link uliyoweka juu huko hayaeleweki sijui ndio uchovu, fanya utoe darasa kiufupi tu utakua umenisaidia kitu.
Hili jamaa bhanaa...Mkuu,
Tengeneza banda kisha fuga kuku wa kisasa! Wakiishakuwa anza kuuza kuku wa kubanikwa Ilala kwa elfu tano tano! ni watamu balaa [emoji39][emoji39][emoji39]
Usisahau kuweka na tu ndizi uchwala tule twa mia mia na limau! Ukiuza kuku wako sita, tayari una 30K!
Ukifanikisha unishtue, nitakuwa mteja wako mkubwa tu!
Tafuta Uzi unaoelezea UTT aliyeanzisha Vladimir Lenin...naamini ukiumaliza utaelewa kila kitu.Maelezo yake nasoma kwenye link uliyoweka juu huko hayaeleweki sijui ndio uchovu, fanya utoe darasa kiufupi tu utakua umenisaidia kitu.
Mkuu check Uzi unaoongelea utt by Vladimir Lenin naamini hutajuta.Ingia kwenye website yao wana maelezo mazuri, ingawa ni mafupi. Hata hivyo, wana namba za bure unaweza kuwapigia na kuwauliza maswali yote. LAKINI cha ziada, ni kuwa kama uko DSM, basi nenda ofisini kwao pale SUKARI HOUSE, OHIO utapata all details. In fact mimi napanga kuwatembelea ili nijue kama naweza kuweka huko hela yangu badala ya kuweka benki ambao MAKAYO ni balaa!
UTT ndio nnUkieka kwenye mabenki watakupa 2% to 7% (p.a) ila UTT anakupa 10% to 14% (p.a)
Njoo nikupe mpangokazi wa kufungua kiwanda lazima utajirikeHabari kuna sehemu nilikuwa nimeajiriwa sasa nimejikusanya na kupata milioni 5 baada ya mkataba wangu kuisha nifanye biashara gani ya kuingiza faida ya isiyopungua 30,000 kwa siku, ushauri wenu ni muhimu sana, asanteni sana.
ukipata location nzuru ni bonge la biasharaNilifanya hii business toka 2016 pale kawe kwa mtaji wa laki 5 tuu
Isingekuwa ubize ningekuwa mbali sana na niliacha 2019
Ngja waje wajuzisijaona anayeshauri biashara ya pesa (m.pesa, tgo pesa, NMB uwakala nk)
inamana hii biashara imekuwa yebo yebo au ndo hailipi tena
kwa mwenye uzoefu pls
hamna biashara hapo pia hela yako inakua hatarin muda wote.sijaona anayeshauri biashara ya pesa (m.pesa, tgo pesa, NMB uwakala nk)
inamana hii biashara imekuwa yebo yebo au ndo hailipi tena
kwa mwenye uzoefu pls
nawasubiri kwa hamuNgja waje wajuzi
hatari yake ni nn???hamna biashara hapo pia hela yako inakua hatarin muda wote.
Ujambazi, utapeli au wizi kwa wafanyakazi uliowaajiri kama sio waamnifu ..nawasubiri kwa hamu
pengine kuna ntakachoambulia
hatari yake ni nn???
mbona naona km watu wanaifanya na ina mafanikio tu
eb nieleze kdg hatari yake iko wapi????
kutapeliwa??
kuongeza sifuri kwenye kuhamisha miamala au ni nini hasa hatari yake
bidhaa yako ni cash muda wote unawindwa chuma ulete,majambazi..utapeli wa kila aina,pia kupoteza mtaji ni siku moja..nawasubiri kwa hamu
pengine kuna ntakachoambulia
hatari yake ni nn???
mbona naona km watu wanaifanya na ina mafanikio tu
eb nieleze kdg hatari yake iko wapi????
kutapeliwa??
kuongeza sifuri kwenye kuhamisha miamala au ni nini hasa hatari yake