Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Weye vipi? Kuna vitu vingi na kila mkoa au wilaya una mahitaji yake. Wewe ndio wajua what is needed where? Siyo suala la kutafuniwa!
Ukijua Kati ya mimi au wewe nani anataka kufanya hyo biashara huwez niuliza nikwambie nn cha kupeleka na mkoa gani hapo kaz n yako wewe kufanya research.

Niliandika huko juu jitoe uingie mikoani, soma uelewe sikusema ukale nyama na bia
 
Ingia kwenye website yao wana maelezo mazuri, ingawa ni mafupi. Hata hivyo, wana namba za bure unaweza kuwapigia na kuwauliza maswali yote. LAKINI cha ziada, ni kuwa kama uko DSM, basi nenda ofisini kwao pale SUKARI HOUSE, OHIO utapata all details. In fact mimi napanga kuwatembelea ili nijue kama naweza kuweka huko hela yangu badala ya kuweka benki ambao MAKAYO ni balaa!
Shukran sana mkuu kwa maelezo mazuri
 
Mkuu,

Tengeneza banda kisha fuga kuku wa kisasa! Wakiishakuwa anza kuuza kuku wa kubanikwa Ilala kwa elfu tano tano! ni watamu balaa [emoji39][emoji39][emoji39]

Usisahau kuweka na tu ndizi uchwala tule twa mia mia na limau! Ukiuza kuku wako sita, tayari una 30K!

Ukifanikisha unishtue, nitakuwa mteja wako mkubwa tu!
Hili jamaa bhanaa...
Unaweza ukawa una mwili kama bonge nyanyaa
 
Ingia kwenye website yao wana maelezo mazuri, ingawa ni mafupi. Hata hivyo, wana namba za bure unaweza kuwapigia na kuwauliza maswali yote. LAKINI cha ziada, ni kuwa kama uko DSM, basi nenda ofisini kwao pale SUKARI HOUSE, OHIO utapata all details. In fact mimi napanga kuwatembelea ili nijue kama naweza kuweka huko hela yangu badala ya kuweka benki ambao MAKAYO ni balaa!
Mkuu check Uzi unaoongelea utt by Vladimir Lenin naamini hutajuta.
 
Habari kuna sehemu nilikuwa nimeajiriwa sasa nimejikusanya na kupata milioni 5 baada ya mkataba wangu kuisha nifanye biashara gani ya kuingiza faida ya isiyopungua 30,000 kwa siku, ushauri wenu ni muhimu sana, asanteni sana.
Njoo nikupe mpangokazi wa kufungua kiwanda lazima utajirike
 
Tafuta eneo lenye maji hasa kiangazi
Lima nyanya au mahindi ya kuchoma hutajutia,

Kama una eneo zuri Fuga kuku kitaalamu
Kuku wa kienyeji

Nenda mnadani kanunue mbuzi leta mjini

Nenda mashambani nunua mavino leta mjini

Tafuta sehemu iliyochangsmka Chukua fremu
Paboreshe fungus bite center
Uza vitafunwa vyote na viwe katka Hali ya usafi chemsha maharage yaunge vizuri
Uza bakuli ndogo 1000 uza supu pia nk fungua mapema funga kwa kuchelewa
Tahadhari
Hakikisha mpika vitafunwa ni mtaalam
Kutengeneza 50k ni kawaida sana

Kama Imani yako haikukatazi tafuta bar iliyochangsmka weka jiko la kitimoto choma, roast, ndizi ugali kwa siku 60-70 kawaida baada ya matumizi yote
 
sijaona anayeshauri biashara ya pesa (m.pesa, tgo pesa, NMB uwakala nk)

inamana hii biashara imekuwa yebo yebo au ndo hailipi tena

kwa mwenye uzoefu pls
hamna biashara hapo pia hela yako inakua hatarin muda wote.
 
Ngja waje wajuzi
nawasubiri kwa hamu

pengine kuna ntakachoambulia
hamna biashara hapo pia hela yako inakua hatarin muda wote.
hatari yake ni nn???

mbona naona km watu wanaifanya na ina mafanikio tu

eb nieleze kdg hatari yake iko wapi????

kutapeliwa??

kuongeza sifuri kwenye kuhamisha miamala au ni nini hasa hatari yake
 
nawasubiri kwa hamu

pengine kuna ntakachoambulia

hatari yake ni nn???

mbona naona km watu wanaifanya na ina mafanikio tu

eb nieleze kdg hatari yake iko wapi????

kutapeliwa??

kuongeza sifuri kwenye kuhamisha miamala au ni nini hasa hatari yake
Ujambazi, utapeli au wizi kwa wafanyakazi uliowaajiri kama sio waamnifu ..

Kwa ufupi kila biashara ina changamoto zake, kila mtu anafanya biashara ambayo anaona yeye changamoto zake ataweza kuzikabili au anakabiliana nazo kwa % fulani...

Kitu kikubwa ni kuwa na taarifa sahihi za biashara mpya usiyoijuwa na unataka kuifanya ,itakusaidia kupunguza kwa kiasi changamoto
 
nawasubiri kwa hamu

pengine kuna ntakachoambulia

hatari yake ni nn???

mbona naona km watu wanaifanya na ina mafanikio tu

eb nieleze kdg hatari yake iko wapi????

kutapeliwa??

kuongeza sifuri kwenye kuhamisha miamala au ni nini hasa hatari yake
bidhaa yako ni cash muda wote unawindwa chuma ulete,majambazi..utapeli wa kila aina,pia kupoteza mtaji ni siku moja..
 
Back
Top Bottom