Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Nilifanya hii business toka 2016 pale Kawe kwa mtaji wa laki 5 tuu

Isingekuwa ubize ningekuwa mbali sana na niliacha 2019
Halafu, biashara ya chakula, kwa odds zote, haimtupi mtu kwani walaji tupo kila siku. Sana sana ni suala la location, usimamizi na uongozi wa hio biashara yenyewe na malengo ya wahusika! Ni lazima malengo ya wahusika - mwenye mali na wafanyakazi wake - yaendane; vinginevyo ni kulizana tu!
 
Mkataba uko poasana sabbu wengi wanafanya Kwa moyo na kujituma Na kutunza muhimu boda ya kwanza afanye km mtaji ikifika pesa alonunulia anunue nyingine then hapo ndo utaona faidazaid
 
Mkataba uko poasana sabbu wengi wanafanya Kwa moyo na kujituma Na kutunza muhimu boda ya kwanza afanye km mtaji ikifika pesa alonunulia anunue nyingine then hapo ndo utaona faidazaid
Kumbe una mayele ya biashara
 
Nitafutie basi kijana nimkabidhi boda moja wee utakiwa unapata buku mbili daily
Haina haja hta ya kunipa buku mbili lkn ni vzuri kutafuta mtu eneo la karibu au unapoishi itakuwa rahis zaidi
 
Mkuu nimekuw
Aisee ukiongea nae anakwambia kumbe kuwa bilionea ukivumilia inawezekana.
Ni kweli kabisa ukiwa mvumilivu ubilionea ni kugusa tu. Ila ukikurupuka hutoboi kabisa.

Huwezi amini hiyo 5m akiwekeza ata kwa kununua ng'ombe kadhaa baada ya muda hyo faida anayotaka kwa siku itaingiaia zaidi.

Kikubwa subira
 
ikoje hii
 
Naomba connection nae pls
 
Habari kuna sehemu nilikuwa nimeajiriwa sasa nimejikusanya na kupata milioni 5 baada ya mkataba wangu kuisha nifanye biashara gani ya kuingiza faida ya isiyopungua 30,000 kwa siku, ushauri wenu ni muhimu sana, asanteni sana.
Pochi au kilimo
 
Zama zako bush
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…