Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

je unataka investment ya muda mfupi au mrefu, specify,pili biashara hiyo utasimamia mwenyewe au unataka uweke mtu wa kuisimamia? Je unataka biashara hiyo ndo uitegemee kwa maisha ya kila siku? Uko tayari kwenda kinyume cha imani yako(kama una imani/dini) ?

HAPO SASAA.....TEHE TEHETEEEEEHEE...!!:becky::becky:
 
My advice is lazima ujue kwanza we una idea ya kupendelea ungefanya biashara gani na pia ujue pia kwamba milion 10 is enough to start an small business but not a large one.na pia ni vyema ungekaa kwanza ukafanya research na uwe creative.
 
Boss nimekuwa na mawazo ya kuwa mfugaji bada ya kusoma ushuri ulompa ndgu yetu ufafanuziwake upowazi na umeeleweka vizuri sana ispokua na maswali upatikanaji wapi ntawapata ng'mbe wa mifugo na huuzwa wakiwa na mimba ya miezi sita ndivyo ilivyo kawaida na je unamtalam wa mifugo anaekupa ushaur
Asante ubarikiwe

Mimi nimekuwa nikihudhuria maonyesho ya NANE NANE kila mwaka na huko ninapata taarifa nyingi zaidi, ningekushauri kuhudhuria katika hii exhibiton ya wakulima na wafugaji. Ng'ombe unaweza kuwapata katika mashamba ya Serikali ya kuzalisha Mitamba kama Ruvu, Mpwapa n.k. Lakini upatikanaji wake unakuwa mgumu kidogo au inabidi kusubiri sana kwani itakulazimu kuto order halafu kusubiri. Njia rahisi ya upatikanaji wa ng'ombe ni kununua kutoka kwa wafugaji wenye ng'ombe wazuri. Mimi binafsi huwa ninaagiza kutoka Arusha kwani wafugaji wengi wamefanikiwa kuwa na ng'ombe bora hasa maeneo ya USA RIVER.
 
[/COLOR][/B]

HAPO SASAA.....TEHE TEHETEEEEEHEE...!!:becky::becky:

Biashara ya kuuza nguruwe kwa jumla inalipa ( sasa kwa wenye imani/dini zao inakuwa utata kwa mfano SDA na ISLAM),ndio maana nikaweka ile tahadhali. Vinginevyo ukienda mitaa ya Mby/Njombe/Iringa kuna maeneo wanafugwa kama kuku wa kienyeji. Wakusanye,tia ktk fuso na break ya kwanza Ubungo.
 
wajameni eeh, nimebahatika "kupata" mahala ka-Mtaji. Ni kiasi cha shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.

Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida.
(i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake)

Nakubaliana na Plato kwamba ufanye uchunguzi kwanza.Pia kusoma vitabu mbalimbali kama Rich dad and Poor dad.Kitabu hiki ni safi sana.Pia siku hizi mambo ya utandawazi;kuna vipindi KIBAO vxa wajasiaria mali.Angalia TBC1 vipindi kama SCIF na wajasiriamali,au kipindi cha business Africa.Vitakupa mawazo ya kibiashara na yenye faida ambayo hukuwahi kuyawaza.Above all listen to what your heart is telling you and believe in God,not in other craps!
 
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida.
(i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake)
,

Kiongozi hapo kwene bold kaka, usisumbuke sana na internal issues/SWOT, kwani uwezo wa kuzi-controll uko mikononi mwako, shughulika na fikilia zaidi external matters ie PESTLE ambazo mara nyingi ni ngumu ku -controll na zinaweza kukufanya ufunge biashara, kwa mfano TRA; MWENYEWE SI UNAJUA JINSI WALIVYO GREED hata viwango vya kodi hawana kila mtu ana vya kwake.....
 
Mkuu Mgombezi hali yako?nilikuwa nataka kujua je ni mkoa gani ambao unaendesha shughuli zako kwa gharama ulizozioanisha hapo juu?nitashukuru kwa majibu yako
 
Ina bidi kuwaza mbali pia.Kwani kila kukicha Nchi za Afrika zina kopi maendeleo ya Ulaya na America.
Ulaya hakuna umeme wa kupita kwenye Manguzo.Nadhani muda sio mrefu hii idea itakuja east
Africa.Umeme wa kupita kwenye Manguzo ni hatari sana.kwahiyo itakuwa ni mwisho wa biashara ya miti ya nguzo.
Hata miti ya mbao za ujenzi ipo pindi haita uzwa kwani mambo ya Global warming ndio yamecharuka kila kona
ya Dunia.Itabidi tusitumie miti tena kwenye ujenzi wa Makazi yetu,tuige technolojia ya Ulaya.
Hii biashara ya miti ni Non-ethical/immoral.Tupande miti kwa kupreserve mazingira,tulete mvua.

Ni kweli usemayo, sio Ulaya tu, hata kijijini kwetu Bomang`ombe Kilolo Iringa, kijiji chote umeme ni underground mkuu, hata chuo cha Ualimu Kreluu Iringa mambo ni underground, maadamu mpaka leo hapa Africa kuna maeneo nyumba za bati ni muujiza, naamini matumizi ya miti ktk ujenzi yatafutika baada ya miaka mingi sana. Ushahidi ninao, wakati mimi na marafiki zangu 2009 tulipanda miti laki mbili ya mbao/boriti jirani zetu hapo shambani toka huko ulaya/kenya walipanda miti 4,000,000. Ukiweza muulize Edson, jf member, akwambie GRL(Norway) wanapanda
miti mingapi pale Mfindi sasa hivi. Wameanzisha carbon credt b/ness kwa kutumia miti hiyo hiyo wanayopanda, ninachotaka kusema ni kwamba matumizi ya miti ni zaidi ya mbao/boriti, hiyo biashara ya carbon ni lazima upande miti. Nimekwenda grl na nikapata fursa ya kuonana na wakuu, bongo tunacheza.

Nawashauri, wenye uwezo wa kupanda miti wapande, hata kama ni kwa kutunza mazingira, utalipwa kupitia carbo credt ambayo ni hela nene.
 
Mimi nimekuwa nikihudhuria maonyesho ya NANE NANE kila mwaka na huko ninapata taarifa nyingi zaidi, ningekushauri kuhudhuria katika hii exhibiton ya wakulima na wafugaji. Ng'ombe unaweza kuwapata katika mashamba ya Serikali ya kuzalisha Mitamba kama Ruvu, Mpwapa n.k. Lakini upatikanaji wake unakuwa mgumu kidogo au inabidi kusubiri sana kwani itakulazimu kuto order halafu kusubiri. Njia rahisi ya upatikanaji wa ng'ombe ni kununua kutoka kwa wafugaji wenye ng'ombe wazuri. Mimi binafsi huwa ninaagiza kutoka Arusha kwani wafugaji wengi wamefanikiwa kuwa na ng'ombe bora hasa maeneo ya USA RIVER.

Kitulo dairy farm ni bomba sana kwa ng`ombe wa maziwa, mpaka juzi jike mwenye mimba alikuwa akiuzwa laki sita. Shida kama uko dar ni umbali tu, ni km 860 toka dar mpaka kitulo. Ukifika pale hakuna longo longo.
 
If you want to do business definitely you have to risk. Ni probability (kuna kupata au kukosa) mimi nakushauri tembelea shule za private talk to the own(s) then buy shares. That is life investment project. hata kama kupoteza nikupoteza tu, lakini probability ya kupoteza pesa zako in education investment ni ndogo sana.
 
Good idea,

Kwa nini ununue hisa badala ya kuanzisha ya kwako huko kusiko na shule mkuu? Maana kuna wilaya/mikoa ktk nchi yetu, shule nzuri ni chache au hakuna kabisa.
 
Utaanzisha vipi shule na 10m? hiyo pesa ni ndogo sana kwa biashara ya shule. isitoshe mtu mwenyewe hana uzoefu wala maarifa yeyote ya biashara ila anataka pesa zake ziongezeke. Tafuta shule mkuu wekeza huko.
 
Mie naona Mbu uwekeze kwenye mfumo wa maji safi kule bongo, nenda sehemu ambazo hawana maji ya bomba na ukachimbe visima vya kutumia mota ya umeme ili wapate maji safi badala ya kuchota maji kwenye madimbwi. Hiyo pesa unaweza kuchimba visima 5, hapo utasaidia wananchi wenzako. Unaweza kurudisha pesa yako, iwapo utafanya kila ndoo ya maji ni shs 100.[/QUOT

milioni kumi kisima kimoja na hela kidogo itabaki, kuchimba kisima ni Tshs 60,000 kwa kila mita na wastani wa dar kwa mfano dar ni mita 100 deep. mtaji huo wa 10m anzisha biashara ya kuuza fresh fruit au chips utapata pesa lakini biashara hizo hazina hadhi kwa baadhi ya watu,
 
Wakuu online businesses mbona hazijaongelewa kabisa? Wanasema online business itakuwa profitable sana Afrika in the next 5 to 10 years.
 
Utaanzisha vipi shule na 10m? hiyo pesa ni ndogo sana kwa biashara ya shule. isitoshe mtu mwenyewe hana uzoefu wala maarifa yeyote ya biashara ila anataka pesa zake ziongezeke. Tafuta shule mkuu wekeza huko.

Si anaanza na day care center mkuu!!!!!!!! Vishule vingi hadi Tusiime vimeanza na chumba kimoja nyumbani kwa mtu, au Sahara p/s pale Mabibo ilianza na wanafunzi 5 tu nyumbani kwa mtu kama tuition fulani. Pole pole atapata uzoefu na kuanza kukua. Kumbuka mbuyu ulianza kama mchicha. Ni maoni tu mkuu wangu.
 
...i hope humaanishi kwenda China na haka kamtaji kangu kununua zile feki zao? au?[/QUOTE]

Kwani hio 10m haitoshi kwenda kuchukua hizo feki hapo China?As far as I can tell hii biz inalipa sana.
 
Kanunue hisa za crdb ambazo zinauzwa at shs 150 per share. 10 m itakupatia shares 66,666. Hii maana yake nini. Kama ungepeleka DECI labda ungevuna 20m baada ya miezi 4? Sijui formula yao. Lakini ukinunua shares hizi crdb zikipelekwa kwenye soko la hisa unaweza ukaziuza zote halafu ukavuna zaidi ya asimia 100. Na hii ni baada sana sana ya miezi miwili. Kwa hiyo ukipata 20m zako iko mbaya gani/ U can decide kuziweka kwenye Fixed deposit ya hao crdb halafu ukaitumia hiyo kuombea mkopo. But this depends very much if u have a steady monthly income. Huo ni ushauri wangu wa bure

Acha kumdanganya mwezako. Hebu weka hapa historical price za CRDB shares for the last 12 months ili tuweze kuthibitisha hii profit ya 100% within 2 months.
 
Back
Top Bottom