Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
je unataka investment ya muda mfupi au mrefu, specify,pili biashara hiyo utasimamia mwenyewe au unataka uweke mtu wa kuisimamia? Je unataka biashara hiyo ndo uitegemee kwa maisha ya kila siku? Uko tayari kwenda kinyume cha imani yako(kama una imani/dini) ?
Boss nimekuwa na mawazo ya kuwa mfugaji bada ya kusoma ushuri ulompa ndgu yetu ufafanuziwake upowazi na umeeleweka vizuri sana ispokua na maswali upatikanaji wapi ntawapata ng'mbe wa mifugo na huuzwa wakiwa na mimba ya miezi sita ndivyo ilivyo kawaida na je unamtalam wa mifugo anaekupa ushaur
Asante ubarikiwe
[/COLOR][/B]
HAPO SASAA.....TEHE TEHETEEEEEHEE...!!:becky::becky:
wajameni eeh, nimebahatika "kupata" mahala ka-Mtaji. Ni kiasi cha shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida.
(i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake)
Ina bidi kuwaza mbali pia.Kwani kila kukicha Nchi za Afrika zina kopi maendeleo ya Ulaya na America.
Ulaya hakuna umeme wa kupita kwenye Manguzo.Nadhani muda sio mrefu hii idea itakuja east
Africa.Umeme wa kupita kwenye Manguzo ni hatari sana.kwahiyo itakuwa ni mwisho wa biashara ya miti ya nguzo.
Hata miti ya mbao za ujenzi ipo pindi haita uzwa kwani mambo ya Global warming ndio yamecharuka kila kona
ya Dunia.Itabidi tusitumie miti tena kwenye ujenzi wa Makazi yetu,tuige technolojia ya Ulaya.
Hii biashara ya miti ni Non-ethical/immoral.Tupande miti kwa kupreserve mazingira,tulete mvua.
Mimi nimekuwa nikihudhuria maonyesho ya NANE NANE kila mwaka na huko ninapata taarifa nyingi zaidi, ningekushauri kuhudhuria katika hii exhibiton ya wakulima na wafugaji. Ng'ombe unaweza kuwapata katika mashamba ya Serikali ya kuzalisha Mitamba kama Ruvu, Mpwapa n.k. Lakini upatikanaji wake unakuwa mgumu kidogo au inabidi kusubiri sana kwani itakulazimu kuto order halafu kusubiri. Njia rahisi ya upatikanaji wa ng'ombe ni kununua kutoka kwa wafugaji wenye ng'ombe wazuri. Mimi binafsi huwa ninaagiza kutoka Arusha kwani wafugaji wengi wamefanikiwa kuwa na ng'ombe bora hasa maeneo ya USA RIVER.
NL .... mshukuru sana Malila ... usipotoka this time .... basi tena!!
If you want to do business definitely you have to risk. Ni probability (kuna kupata au kukosa) mimi nakushauri tembelea shule za private talk to the own(s) then buy shares. That is life investment project. hata kama kupoteza nikupoteza tu, lakini probability ya kupoteza pesa zako in education investment ni ndogo sana.
Mie naona Mbu uwekeze kwenye mfumo wa maji safi kule bongo, nenda sehemu ambazo hawana maji ya bomba na ukachimbe visima vya kutumia mota ya umeme ili wapate maji safi badala ya kuchota maji kwenye madimbwi. Hiyo pesa unaweza kuchimba visima 5, hapo utasaidia wananchi wenzako. Unaweza kurudisha pesa yako, iwapo utafanya kila ndoo ya maji ni shs 100.[/QUOT
milioni kumi kisima kimoja na hela kidogo itabaki, kuchimba kisima ni Tshs 60,000 kwa kila mita na wastani wa dar kwa mfano dar ni mita 100 deep. mtaji huo wa 10m anzisha biashara ya kuuza fresh fruit au chips utapata pesa lakini biashara hizo hazina hadhi kwa baadhi ya watu,
...naaaaaaaaaam, haba na haba inshaallah nitakijaza kibaba, nami nijekuwa mjasiriamali kamili. Hata Mzee Mengi alianzia na zile peni za Bairo, na Bakhressa alianzia na lamba lamba, kisha mikate...
...Gotcha Bro,...Nikiwa mitaa ya Bongo, zile Billboards siku zote zinanikumbusha ule mjadala miaka miwili iliyopita;
" https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/4131-home-place-you-dont-whant.html "
Utaanzisha vipi shule na 10m? hiyo pesa ni ndogo sana kwa biashara ya shule. isitoshe mtu mwenyewe hana uzoefu wala maarifa yeyote ya biashara ila anataka pesa zake ziongezeke. Tafuta shule mkuu wekeza huko.
Kanunue hisa za crdb ambazo zinauzwa at shs 150 per share. 10 m itakupatia shares 66,666. Hii maana yake nini. Kama ungepeleka DECI labda ungevuna 20m baada ya miezi 4? Sijui formula yao. Lakini ukinunua shares hizi crdb zikipelekwa kwenye soko la hisa unaweza ukaziuza zote halafu ukavuna zaidi ya asimia 100. Na hii ni baada sana sana ya miezi miwili. Kwa hiyo ukipata 20m zako iko mbaya gani/ U can decide kuziweka kwenye Fixed deposit ya hao crdb halafu ukaitumia hiyo kuombea mkopo. But this depends very much if u have a steady monthly income. Huo ni ushauri wangu wa bure