Kanunue hisa za crdb ambazo zinauzwa at shs 150 per share. 10 m itakupatia shares 66,666. Hii maana yake nini. Kama ungepeleka DECI labda ungevuna 20m baada ya miezi 4? Sijui formula yao.
Lakini ukinunua shares hizi crdb zikipelekwa kwenye soko la hisa unaweza ukaziuza zote halafu ukavuna zaidi ya asimia 100. Na hii ni baada sana sana ya miezi miwili.
Kwa hiyo ukipata 20m zako iko mbaya gani/ U can decide kuziweka kwenye Fixed deposit ya hao crdb halafu ukaitumia hiyo kuombea mkopo. But this depends very much if u have a steady monthly income.
Huo ni ushauri wangu wa bure
Malila shukrani sana,najipanga nitakutafuta...Wana JF mbarikiwe sana kwa ideas ambazo si rahisi kuzipata sehemu nyingine
Karibu sana, ila utanikuta shambani Mkuranga !!!!!!!!!
mkuu malila mkuranga kijiji gan..nimetoka huko leo!kijiji shunbwen!kule naona mazao meng watu wanalima mf tkt,plpl,mbaaz,nanas n.k!najiandaa kuanza kilimo taratibu msimu huu,
Niko huko huko Shungubweni, nimepata kipande pale daraja mbili kabla hujafika kijijini, mto Mduzi, wewe umepata wapi? Hujapita pale ukaona kuku wanagombana njiani mkono wa kushoto ukitoka mjini!!!!!!!!!!!!!
Niko huko huko Shungubweni, nimepata kipande pale daraja mbili kabla hujafika kijijini, mto Mduzi, wewe umepata wapi? Hujapita pale ukaona kuku wanagombana njiani mkono wa kushoto ukitoka mjini!!!!!!!!!!!!!
Mkuu huo mtaji wa Milioni 200 ni mkubwa sana, na kuhusu bidhaa ni wewe tu,ila nakushauri bora uingie katika kuagiza budhaa za kilimo na mifugo ili usaidie kuinua kilimo huku bongo, tuko nyuma sana kwa kilimo na ufugaji,wadau ikiwa nataka kuimport bidhaa kutoka nje na kuziuza ndani ya nchi hapa,je ni bidhaa ipi itanilipa? mtaji kuanzia milioni 50 kwenda hadi milioni 200.
au kama una successfully business plan yoyote nisaidie ndugu yangu, sitakuacha.
Yule mwarabu alitaka kuning'oa Mimi nikamwambia sing'oki hata kwa mbinde. Ananisubiri eti niende nikachukue hela.mkuu hapo ktk kuku wanaogombana umeniacha hoi!anyway cjawa mwenyeji saana!kituo kinaitwa mitimirefu!maeneo yapo ya kutosha kule!sema bei zinapanda kila kukicha,kuanzia za maeneo ya kukodi mpaka maeneo ya kununua!yule mwarabu na wachina wametuharibia!nadhani sio muda mrefu sana barabara itamalizika ile!na maeneo ndo yatapanda bei zaidi.
Yule mwarabu alitaka kuning'oa Mimi nikamwambia sing'oki hata kwa mbinde. Ananisubiri eti niende nikachukue hela.
Yule mwarabu alitaka kuning'oa Mimi nikamwambia sing'oki hata kwa mbinde. Ananisubiri eti niende nikachukue hela.
hahaha..kachukue mahela hayo!
lini utakua shamba tena mku..!mwez ujao nataka niingie shamban mwenyewe
Sasa kila kitu kizuri tukiwaachia wenye hela sisi tutabaki na nini? Mfano, K/koo wanatuhamisha, Vingunguti nako wameanza kutuhamisha, Sinza wanatuhamisha, na Shungubweni nako watuhamishe, aah wapi atahama yy safari hii. Pale pana maji ya mto usiokauka, ndio urithi wa watoto wangu. Penye maji nimwachie mtu !!!! thubutu.
Karibu sana, ila utanikuta shambani Mkuranga !!!!!!!!!
dah Mbu nilifikiri umepata hivi karibuni kumbe thread ya tangu 2009. tupe feedback au ulizitafuana? lol
Ulidhani ni jana ili umpige bomu!!!!!!!! Miaka minne nyuma.