Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?


Fiksiman nataka kugombea ubunge viti maalumu nakupataje?
 

jamani napenda ujasiriamali sana nishiken mkono kwa msaada wa ushauri mwenzio nimeanza na kuku wa kienyeji tangu mwez wa saba tayar watatu wanatotoa madawa ni nayo tayari
 
Last edited by a moderator:

yaan ana ml 10 auze nyanya ua samaki?umemchoka
 

Hata mimi baadhi Ya hela Ya urithi nilinunulia bodaboda yaani nipasua kichwa ila mwanzo mwanzo nilipiga hela ...... Baada Ya kuua niliamua kuziuza
 
Hahahaha daa ya choo nmeipenda vip eneo kariakoo lipoo
 

ndugu anayekwambia ujenge kwa hiyo milioni kumi sikubaliani nae kwasababu kwa maisha ya sasa nyumba ya milioni kumi haitakuwa na hadhi nzuri kwa kupangisha, sana sana tu unaweza ukashangaa ujenzi unaishia njiani na hela ikaisha. kikubwa kwa sasa focus kwene investment ambayo haitahitaji mtaji mkubwa. katika biashara kwanza tafuta biashara unayoipenda kutoka moyoni ambayo utafurahia. ila kama ni mwajiriwa basi tafuta biashara ambayo haitahitaji close supervision. ndo hayo tu ndugu
 
Mkuu pesa ya urith haifanyiwi biashara....ujui mzee kapataje..nenda tafuta kiwanja jenga then pangisha itakusaidia maisha yako yoote

duhhh!!!!kumbeeee eeenhhhh!!!ndo maanaa..........
 

Muraaaa upo tarime au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…