Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?


Kweli mkuu, vijijini kuna mambo kwakweli
 
@ limited Edition....nimetafta sanaa wanapo kopesha hizo pikipik za miguu mi3 cjapata nisaidie plz ni kampuni gani....0767 240 659.
 

Mkuu Kikuna pole na majukumu! Hahaha....umenikosha mkuu ulivyosema wakati mwingine kuajiriwa no lufifisha akili tu dah... Nikicheki maisha yalivyomagumu kwangu...na nikisoma comment kama hii...natamani nichukue ada ya mzee wangu nikaanzishe maisha maana...zinapita siku tatu MTU upo tu, hujui utaishije, utakula wapi dah, halafu unamaliza chuo hupati Nazi. Dah nabaki kwenye dilemma mkuu wangu, maana maisha haya siyaelewi duh.
 
Hii kiboko!!

Bila shaka Mkuu huko Bongo, ni uzoefu wa siasa halisi za bongo. Ni projects za walio wengi na hasa tunapoelekea 2010 na zinalipa!.

Hahahahahaah,.. viongoz wataopatikana hapa ni shidaaaaa
 

Ukinunua zote kumbuka yafuatayo:-
Kulipa kodi
Kesi za trafic
kuibiwa na utakayemkabidhi
ajali
tunza pesa ya tahadhali
tofauti hivyo utanunua aghali utauza rahisi moja baada ya nyingine ili kusolve matatizo
 
Hii thread napenda kuireview kila wakat,.. naheshim mawazo ya maana hum ndan,..
 
Futa kabisa wazo hilo.
Kwanza kwa pesa hiyo huwezi kununua bodaboda nane.
Halafu usiwekeze kwenye Biashara moja.
Ushauri wa bure:
10m,unaiona ni pesa kubwa,lakini kiukweli ni pesa ndogo sana.Ila inaweza kuzalisha pesa kubwa kama ukituliza kichwa chako.
Na hali ilivyo ni kwamba bado unapapara,nakushauri iweke Bank kama miezi mitatu kisha ndio uifanyie mradi wako unaotaka kufanya.La sivyo utajuta.

Kwanza nakushauri toa kama 700,000 umtolee sadaka Marehem ili upate Baraka zake,maana bila yeye usingezipata.
na tabia ya pesa za Urithi,yaani kama ulitoa hata elfu moja katika hizo ukaenda kunywea bia basi hata ufanye nini umaskini ni wa kwako hadi unaingingia kaburini.Maana wafu wanaona matendo yetu
umenitisha mkuu maana na mm nilikua naelekea kwenye mradi huo.

 
Mil 10 ninyingi na unaweza Fanya bihashara ikakuzalishia Mara nne ya pesa hyo! Bihashara zipo nyingi tu lakini cha muhimu tuliza akili yako Kwa muda wa miez 3-6..angalia bihashara mbalimbali za watu wengine rafiki zako ndugu zako na wengine ambao wanabihashara kubwa na ndogo.. zungumza nao Kwa marefu na mapana kisha anza kuchambua moja baada ya lingine mwisho utakuwa na bihashara bora na nzur ya kufanya! Kumbuka uwezo wako wakutafakari Kwa kina na kuhakikisha unatumia vizur akili yako kitakisaidia sana!!.....
 
if i have to start over today, i will start network marketing~bills william gates. hiyo pia ni biznes do it
 
Hongera,sana ndg yangu kwa kupata mshiko wa urithi ushaur wangu kuwa mvumilivu mpk uchaguzi upite ntakuunganisha na Wema sepetu atakushaur nini cha kufanya na hiyo Mil10
 
fanya kununua kibajaji na inayo bakia peleka kwenye eneo ununue! ukifanya biashara ambayo hukuwai kufanya wala kufikilia iyo 10m utakuja kuisikia redioni na itabakia ni historia tuu!
 
oc mb,sana ndg yangu kwa kupata mshiko wa urithi ushaur wangu kuwa mvumilivu mpk c uchaguzi upite ntakuunga.zxrj n nisha na Wema sepetu atakushaur nini cha ko ufanya na hiyo Mil10

Eəxdxx ccc mztx Nov
 
Hahahaha inategemea na mazingira na wew mwenyewe pia aliekuachia alizipataje Kama ni kiuhalali au lah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…