Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

biashara yoyote ni kurisk. ingia tu biashata yoyote itakaholingana na mtaji wako ukiendelea kusubiri ushauri utashangaa hiyo inaisha na utajua imeishaje....niulizeuliize mimiimi..
 
NI PASUA KICHWA HASWA HYO BIASHARA
 
Njoo unifungulie salon ya kike maana nina kila kitu mfano madraya makopo ya dawa viti nk hela ya kukodishia flem ndo sina ni PM tuongee business serious brow salon ya kike inalipa sana istoshe nina Wateja wng
aiseeeee
 
Katika biashara ni hatari sana kuwekeza kwenye mradi mmoja (Concentration Risk) kwani ukipata hasara basi umepoteza kila kitu. Ni muhimu sana kupanga kuyaweka mayai yako kwenye makapu tofauti ili kapu moja likioza kwa sababu yai moja limeoza ndani ya kapu hilo basi makapu mengine yasalimike na hivyo kukuwezesha kuendelea na biashara yako (Diversification).

Ili kufanya diversification yenye tija basi hakikisha miradi unayotaka kuifanya in risk profiles ambazo hazishabihiani kabisa kwa maana kwamba kama vyanzo vya hasara vikitokea kwenye biashara moja basi vyanzo hivyo ni vyanzo vya faida kwenye biashara nyingine. Kwa mfano kama unataka kufanya biashara ya kuuza mablanketi basi fikiria kufanya na biashara ya kuuza barafu pia kwa sababu kama hakuna baridi basi mablanketi hayatauzika lakini barafu zitauzika kutokana na watu kutumia sana vitu vya baridi wakati wa joto hivyo hasara utakayoipata kwenye uuzaji duni wa mablanketi itafidiwa na faida utakayoipata kwenye uuzaji mwingi wa barafu.

Kama unafikiria diversification basi ushauri wangu ni kufikiria mradi wa Rifaro kwani vyanzo vyake vya hasara (Risk Profile) vinatofautiana sana na biashara za kawaida tulizozizoea na hivyo itakusaidia ku diversify risk ya kuwekeza kwenye miradi ambayo ina risks zinazoshabihiana.

Toa TZS 128,500 tu kwenye hizo hela zako uwekeze kwenye mradi wa Rifaro zilizobaki wekeza kwenye mradi utakaoamua kuufanya.

Kwa maelezo ya kina kwa nini uwekeze kwenye mradi wa Rifaro soma thread hii hapa

Kwa nini utumie simu yako ya mkononi bila kulipwa wakati kuna Rifaro?
 
Sikilizeni hiki kipindi kilichorushwa hewani na Channel 10 na Rifaro Africa Ltd kuelezea biashara yao ya mda wa maongezi na jinsi ambavyo unaweza kutengeneza mamilioni ya pesa kila mwezi kwa mtaji mdogo tu wa TZS 128,500

Kwa nini utumie mda wako wa maongezi kihasara hasara?
 
Sikiliza hiki kipindi kilichorushwa hewani na Channel 10 na Rifaro Africa Ltd kuelezea biashara yao ya mda wa maongezi na jinsi ambavyo unaweza kutengeneza mamilioni ya pesa kila mwezi kwa mtaji mdogo tu wa TZS 128,500

Kwa nini utumie mda wako wa maongezi kihasara hasara?
 
Mkuu pesa ya urith haifanyiwi biashara....ujui mzee kapataje..nenda tafuta kiwanja jenga then pangisha itakusaidia maisha yako yoote
Pesa Ni pesa Tu, ukiwa na wazo jema la biashara fanya bila uoga, fanya maamuzi magumu na yenye busara, don't ask to many people to advise you, they will fail you. Plan it good and do it with confidence.
 
Boda boda usijaribu kabisaaaa utaumia aisee. Jamaa ni wakorofi wa kuleta mapato kwa wakati na isiyotimia. Lakini ukifatilia maisha yao binafc mambo yanaenda shwari. Tena Kuna wengine wanakulaga dili na watu kwa kusingizia eti wamenyang'anywa na vibaka huku wakiwa wameshapiga pesa. Hayo nilishafanyaga mwenyewe. Sitaki hata kusikia
 
Mimi nataka incubator naomba tuwasiliane yenye uwezo wakubeba mayai 150 tuu
 
Huyu jamaa hana hiyo hela ila anawaza endapo ataipata ataifanyia nini?hongera kwa kutaka ushauri kabla ya kuikamata mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…