prince uweri
Senior Member
- Feb 6, 2016
- 112
- 88
biashara yoyote ni kurisk. ingia tu biashata yoyote itakaholingana na mtaji wako ukiendelea kusubiri ushauri utashangaa hiyo inaisha na utajua imeishaje....niulizeuliize mimiimi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa vijana ni pasua kichwa. Hawatakaaa kamwe wakuletee pesa yote. Wana a lot of excuses. Nakumbuka kwenye boda boda tano nililetewa siku mbili tu jumla ya 250,000 kwa week baada ya hapo zote zilikua majanga. Baada ya mwezi moja ikaibwa, insurance wakagoma kunilipa. Miezi mitatu baadae boda moja tena ikapata ajali Tabata- Matumbi. Dogo akakimbia boda ikakaa polisi miezi sita. Wakati huo huo hawa wengine wanazingua balaaa mara alete pesa mara asilete mara hivi mara vile iliishia kuniletea stress tupu. Kwa ufupi hivyo ndivyo nilivyopoteza 8.5 investment. Nakushauri usifanye maana hata huo uzima wa pikipiki ni mdogo sana na mizigo na suluba wanazozifanyia hizo pikipiki hao vijana waweza kuua mtu. Usifike huko
aiseeeeeNjoo unifungulie salon ya kike maana nina kila kitu mfano madraya makopo ya dawa viti nk hela ya kukodishia flem ndo sina ni PM tuongee business serious brow salon ya kike inalipa sana istoshe nina Wateja wng
Wadau mimi ni Mwajiriwa,
Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.
Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa.
Nitashukuru kwa kila wazo chanya
Wajameni eeh,
Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake).
=======

Pesa Ni pesa Tu, ukiwa na wazo jema la biashara fanya bila uoga, fanya maamuzi magumu na yenye busara, don't ask to many people to advise you, they will fail you. Plan it good and do it with confidence.Mkuu pesa ya urith haifanyiwi biashara....ujui mzee kapataje..nenda tafuta kiwanja jenga then pangisha itakusaidia maisha yako yoote
Fanya biashara ya mbao utapata faida fastaHuna idea yoyote ya nini cha kufanya?
Bora atutafte tumsaidie matumiziMmmh 10 milion ajenge nyumba na kupangisha??? Serious au mnatania