Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Njoo tufanye biashara ya Machupa na plastic chakavu masoko hapa hapa kama upo dar
 
Huo mtaji wako ni Mzuri Kama ukiamua kufanya biashara ya duka la chakula au nafaka, mm nlianza na 4m na naendelea vyema, cha msingi ni kuwa makini pia uwe na heshima na pesa
Wazo Zuri sana umempa, kwa serikali hii hali ya uchumi na bidhaa nyingi itakuwa inayumbayumba Kila siku, na hali hii itachukua Muda mrefu sana, hakuna sehem ya kuwekeza zaidi ya kwenye vyakula tu, nafaka
 
kwenye mtaji wako umesahau kuhesabia kodi hivyo mtaji ni chini ya hiyo.hela
 
5m machupa
Unashangaa ! Ni zaidi ya hiyo Machupa au plastic chakavu ni biashara yenye gledi ya mfanyabiashara karibu nikufundishe na nyingine nyingi kuhusu biashara ya material ya kwenye taka rejea zipo nyingi hiyo ni baadhi tu
 
Huo mtaji wako ni Mzuri Kama ukiamua kufanya biashara ya duka la chakula au nafaka, mm nlianza na 4m na naendelea vyema, cha msingi ni kuwa makini pia uwe na heshima na pesa

Mkuu hii fursa imekaaje hii?
 
Biashara ni utashi, ubunifu, upenzi(hobby) na hamu.

Ninakushauri ueleze ungependa kufanya biashara gani kwa kufuata hivyo vigezo hapo juu ili wadau wanaofanya biashara kama hiyo watakupa ushauri namna ya kuitumia hiyo pesa ufikie ndoto zako.

Biashara yenye mafanikio inaanza kufanikiwa ndani ya fikra kabla hujaianza.
 
Oa kama bado hujaoa na kama umeshaoa-ongeza wa pili au nyumba ndogo, life is too short, unaweza ukafa next month ukawaachia ugomvi ndugu zako kwa hizo hela!
au achimbie chini azalishe mchwa.
mchwa 10000 kwa siku
akiweza kuzalisha mchwa 1000000 atakua bilionea mzuri tu
 
Huo mtaji wako ni Mzuri Kama ukiamua kufanya biashara ya duka la chakula au nafaka, mm nlianza na 4m na naendelea vyema, cha msingi ni kuwa makini pia uwe na heshima na pesa
Nimeipenda sana hii mimi nimeifkiri sana hii biashara na 2M nafkri kuongeza kidogo nianze japo na 2.5
 
HAHAAAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…