hapana mkuu siwez kumuingiza cha kike, mm nna project nmeiandaa na nmefanya project kadhaa so nna uzoefu mkuu, kwa huo mtaji wake jamaa lazma atusue tatzo weng wanakosa taarifa sahihi ndo maana wanakosea biashara, am outWejamaaa wewe!....usije mpeleka mkuu chaka akaturudishia mrejesho wa kilio
hapana mkuu siwez kumuingiza cha kike, mm nna project nmeiandaa na nmefanya project kadhaa so nna uzoefu mkuu, kwa huo mtaji wake jamaa lazma atusue tatzo weng wanakosa taarifa sahihi ndo maana wanakosea biashara, am out
Km una capital njoo tuyajenge pm coz ni project yangu nmetumia muda mrefu kuchunguza soko,kutafuta clients na mengineyo, njoo tufanye kaz mkuu ,tuache kulia lia sijui magu ivi mara vile, maisha inabdi yasonge tu no matter whatBasi kama vp tupeane mawazo mkuu ili tutusue maisha
Safi kabisa, nadhani hii ndio maana na malengo ya watu kusoma na kuhitimu.kwanza una fani gani uliyosomea? kwanza unatakiwa ufikirie biashara au kujiajili kwa fani uliyosomea mfano wewe ni hotelia fikiria kwanza kunzisha mgahawa au catering au reservtion services etc, kama mwalimu fikiria kuanzisha tuition centre au shule ya awali au shule ya msingi kutokana na mtaji wako. ingawa unaweza kwenda nje ya taaluma yako lakini utatumia nguvu nyingi kupata mafanikio kuiko kufanya kitu kilichopo ndani ya uwezo wako, mfano mimi ni mhasibu tuna accounting firm na tuna train computer accounting package ni vitu ambavyo nimesomea ni rahisi kwangu kuviendeleza
Km una capital njoo tuyajenge pm coz ni project yangu nmetumia muda mrefu kuchunguza soko,kutafuta clients na mengineyo, njoo tufanye kaz mkuu ,tuache kulia lia sijui magu ivi mara vile, maisha inabdi yasonge tu no matter what
Njoo tufuge, nguruwe kuku na sungura. Mimi nina utaalamu, uzoefu na muda wewe una hela. Tuungane (chini ya mwavuli wa uaminifu) tufanye hii biashara.
NB: Tutakua shea kwenye huo mradi, strictly sitaki kuwa mwajiriwa.
Just an option.
Kwa kweli kuna watu wana hela lakini hawajui au hawana muda wa kufanya biashara. Mimi nilikua mmoja wao. Nilikua napenda sana kilimo na mifugo lakini bahati mbaya nika Invest hela zangu kwa mijitu isiokua na akili. Hela zimepotea, traktor imekufa na wao sasa wamekaa maskani tu sasa wakilalamika hali ngumu. Tamaa iliwazidi. Kwa mtu mwenye akili unaweza ukasimamia Mali na aliye toa mtaji asipoteze mtaji Wake na akapata faida yake na wewe ukaendelea kupeta bila mradi kuharibika na uhusiano. Tunahitaji sana watu wenye uzoefu kama wewe, na uwaminifu tusiusahau.
Sasa vipi ndio umekata tamaa kabisa juu ya kilimo na ufugaji hautaki tena kwa yale yaliyokukuta hapo awali kama ulivyoeleza?
Hata kama hautawekeza hela yote uliyoitaja hapo juu katika mradi ninaoupendekeza still tunaweza tukaanza kwa kiwango kidogo.
Kama uko radhi, kama tutaaminiana (uaminifu ni jambo la pande mbili)
Teh teh teh.ukitaka kuibiwa tangaza una pesa!
Kuna mda nilikata tamaa kwa sababu nilipata kipigo kikubwa sana. Sasa hivi navuta kasi kidogo na siwezi kuahidi kitu. Mambo yakinikalia sawa labda ndio nita jaribisha tena.
Wewe mwenyewe uko kivipi? Yaani kuna chochote ulioanzisha hata kama ni mazao unayo panda uani? Si lazima mtu Uwe au uanze na maheka.
naomb no.zko broBiashara ya kuuza gas ya kupkia ni biashara nzuri sana haina hasara hata ukimwachia mtu nambie uko mkoa gan
Kitaaluma mimi ni mtu wa mifugo (animal health and production) kwahiyo niko interested zaidi kwenye ufugaji zaidi ya kilimo cha mazao.
Ndio maana nikapendekeza kufuga, nimekuwapo kwenye mashamba kadhaa kama mwajiriwa kwahiyo nina uzoefu, mradi wangu mimi kama mimi sijaanza bado, ila panapo majaaliwa nitaanza hivi karibuni (nitaanza hata na yai moja).
Hicho ndicho ninachoweza kukueleza kwa sasa.
mmmmmhhhhh ila ndio maana jf kuna ban maana sijui ingetokea nini..Ponda mali, kufa kwaja.
Mkuu update status ya ushauri ......Wajameni eeh,
Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake).
=======
Hapo kwenye kukata tamaa wakati umwemwambia ela inarudi ndio issue ipo hapo.mkuu njoo pm kuna project ndani ya mwezi tu pesa yako inarudi,cha msingi ni uthubutu,kujiamini na kutokukata tamaaa