Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Ushauri wangu, Fanya biashara ya kununua na kuuza viazi. Njoo Njombe unanunua viaz kwa wakulima na kupeleka mtwara. Aiseeee.... Yaaani..
Mkuu nipo kwenye situation kama ya jamaa, unaweza kuchambua kidogo hii imekaaje? Au labda hata pm?
 
Naskia gunia la mahind uko ni 55000. Mwanza mahind yamefika 100000 kwa gunia. Ukipiga na usafiri unaweza pata 30% profit.
 
Niliweka kidogo kidogo km mil 3 na mil 2 niliuza pkpk yangu moja baada ya kuona inaanza kusumbua
Huwa nashindwa kuelewa mtu ameweza kutengeneza hela lets say 1m,5m o 10 m..alafu anakuja anauliza afanyie nini??..ts rly intriguin o im jst being skeptical..lets b serious kidogo hela umepata kwa kazi unayofanya..n kama imeweza kukupa iyo hela that means yo good in wat yo doing na pia kazi/biashara iyo inalipa..xx kwann usi reinvest apo ili uongeze return ako..unless mayb umeokota,umerithi,umeiba au umeshinda kwny gamblin+forex..izi ndio exeption za kuomba ushauri..REMEMBER: making money z a DOUBLES-GAME..,make money,use dat money to make mo money n lastly repeat the proces
 
Dagaa wachafu. Unachukua Mwanza unaleta Dsm. Kwa mwezi unaleta mara mbili na kila trip unapata faida zaid ya ml 1.
 
Can u explain? AIM ndio nn?
Yes I can explain it in short ni kampuni toka Ufilipino ambayo Imefika Tanzania toka mwezi wa kumi na mbili lakini kwa hiyo miezi miezi michache imeisha watengeneza mamilionaire wengi kama uko dar njooni Makumbusho stand usikilize semina na ujionee shuhuda pia kama uko mikoani tunaweza nikakudirect unapewa semina na ukaelewa in detail in short kampuni AIM(Alliance Global in motion ) inajihusisha na business marketing nicheki WhatsApp kwa 0757409103 for more detail
 
Yaleyale ya online marketing, kalaghabaho!
 
unataka ukamwibie huyu jamaa
 
Mkuu nataka kujenga godauni kwa ajili ya kuifadhi mazao je vipi inaweza kuwa biashara nzuri najengea kyela maenep ya nkuyu kuna kiwanja nimenunua maeneo hayo kina ukubwa wa 18 mita upana na 130m urefu kyela ni home mkuu


!
!
Biashara Nzuri sana aisee. Ila kama ningepata nafasi ya kushauri ningekushauri uingie ndani kidogo katumbasongwe au Ipinda Mwaya Mwaya huko ili upate advantage ya kuwa mashambani. Wakulima uwafate hukohuko walipo.
 
M 5,000,000 ni faida ama million 5-4?


!
!
Hapana... Faida itakuwa kama milioni moja hivi au zaidi kidogo ikitegemeana ni bei ya soko lako. Biashara hawezi kuwa rahisi rahisi namna hiyo aisee utengeneze zaidi ya 100% faida ndani ya miezi Miwili? Nah men
 
ok
 
Biashara ya mitungi na majiko ya gesi inakufaa..
Sababu:
1. Mitungi haiozi, ukishindwa unaweza kuiuza urudishe pesa kwa hasara ndogo
2. Ipo sustainable, watu lazima wale kila siku, mtu akishanunua mtungi Na jiko anabaki kua mteja kwa sababa lazima aje kujaza gesi inapoisha, then wateja huongezeka Na hawawezi kupungua.
3. Ni biashara yenye uhakika, matumizi ya gesi ya kupikia yanaongezeka day by day..matumizi ya mkaa yanapigwa marufuku kila siku, kwa sasa hakuna nishati yoyote ile inayoweza kuiondoa gesi kwa kupikia kwa garama, unafuu, usafi, usalama n.k
4. Haina risk ya kuibiwa, kuharibika, kuoza, wala kupoteza mtaji, mitungi inaonekana, inahesabika wala haiozi.


Mimi nipo mwanza ,na nina watu songea wanayoifanya biashara hiyo, wakiwepo mawakala wakubwa kwa wadogo, na naweza kukuonganisha nao bure kabisa, ujiridhishe na ukaweza kufanya bila tatizo lolote.
If interested...
 
Dagaa wachafu. Unachukua Mwanza unaleta Dsm. Kwa mwezi unaleta mara mbili na kila trip unapata faida zaid ya ml 1.
Mwanza unatoa sehemu gani mkuu, na unauzia wapi? Mtaji wake ni kiasi gani?
 
Ndugu niliweka kidogo kidogo toka kwenye mshahara na ingine niliuza pkpk

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…