Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Wala usishangae kuwa na hela ambayo si from source permanent.mfano graduates kadunduliza vibum vyake na hela za kuomba omba kwa ndugu na jamaa.utashangaa kapataje hiyo hela??
 
umeuza shamba au ng'ombe? anyway usirisk pesa yote chukua m3 uzifanyie biashara ya vyakula vibichi kama mahindi , maharage na mpunga uhifadhi uuze baadae izo m2 tafuta busy business nyingone
 
Kichwani nna wazo LA kufuga kuku wa mayai na kununua incubator niwe natotolesha mayai mwenyewe.hofu nlonayo je soko LA mayai linaweza kua LA uhakika kwa huku kwetu? Sasa nkaona niombe ushauri kwa watu tofauti juu biashara tofauti tofauti mana forum najua Ina watu wenye mawazo tofauti tofauti.


Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Hii inaweza kunifaa mana shida nlonayo pia ni mtumishi wa serikali nakosa muda wa kutosha kwenye biashara

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Michele supa kyela bei gani kwa Sasa yaani grade 1?
 
Habari za muda huu, Naombeni ushauri nifanye biashara gani, Nina kiasi cha mil 5 nashindwa kuamua nifanye biashara gani, nahisi naweza katia mtaji mapema. Naombeni ushauri sio matusi na maneno ya kukatishana tamaa. Nipo SONGEA-RUVUMA
Nunua viwanja, baad ya mwaka mmoja, uza kwa bei ya juu.

[emoji16] [emoji16] [emoji16] hakuna hasara hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…