Biashara ya mitungi na majiko ya gesi inakufaa..
Sababu:
1. Mitungi haiozi, ukishindwa unaweza kuiuza urudishe pesa kwa hasara ndogo
2. Ipo sustainable, watu lazima wale kila siku, mtu akishanunua mtungi Na jiko anabaki kua mteja kwa sababa lazima aje kujaza gesi inapoisha, then wateja huongezeka Na hawawezi kupungua.
3. Ni biashara yenye uhakika, matumizi ya gesi ya kupikia yanaongezeka day by day..matumizi ya mkaa yanapigwa marufuku kila siku, kwa sasa hakuna nishati yoyote ile inayoweza kuiondoa gesi kwa kupikia kwa garama, unafuu, usafi, usalama n.k
4. Haina risk ya kuibiwa, kuharibika, kuoza, wala kupoteza mtaji, mitungi inaonekana, inahesabika wala haiozi.
Mimi nipo mwanza ,na nina watu songea wanayoifanya biashara hiyo, wakiwepo mawakala wakubwa kwa wadogo, na naweza kukuonganisha nao bure kabisa, ujiridhishe na ukaweza kufanya bila tatizo lolote.
If interested...