Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Kwa mwezi niwe na angalau faida ya kuanzia laki tatu mpaka tano.
Good....
Kama hivyo ndivyo, basi nakushauri uanze na biashara ndogo ambayo pengine itakua mtaji ni chini ya 3.5m.
Kwa jiji la Darisalama, jipe muda na pitia kwenye mikusanyiko ya watu hasa maeneo ya stendi ama mwendo kasi bus stop (kwamfano msimbazi). Kisha tafuta eneo lako dogo ambalo unaweza likatosha kuweka mashine yako ndogo ya kukamua muwa (juice ya miwa). Na anza biashara hiyo mkuu, na hakika hautojuta kwasababu kwanza mali ghafi zinapatikana kwa wingi na rahisi. Na pia kila glass ya juice utauza kwa sio chini ya 500 pesa ya Tanzania, na kwa joto la Darisalama pamoja na mirundikano ya watu kwenye maeneno kama Karume, Jangwani, Msimbazi, Congo na kadhalika......
Ebu tafakari hii kitu na ujaribu mkuu
 
Hii biashara ni nzuri, ila kumbuka mimi siwezi kupatikana muda wote hapo, je nitaifanyaje
 
Hii biashara ni nzuri, ila kumbuka mimi siwezi kupatikana muda wote hapo, je nitaifanyaje
Mkuu, skuizi ili tufikie tunapotaka tunapaswa malengo.
Na ili ufanikiwe kwenye biashara, haupaswi kuogopa hasara/kuibiwa.
Lakufanya, tafuta kijana mwenye anajua hiyo ama aina hiyo ya biashara (tembelea wauza juice ya miwa), na kisha fanya nae mazungumzo kwa idadi ya kila muwa ama mzigo wa muwa unatoa glasi ngapi, jumlisha na viungo, na kisha weka nae mikakati kwamba kwa kila mzigo wa miwa, yeye atakua anakuletea pesa ngapi kwa siku.
Pia hakikisha kila juma mosi na jumapili unakuwepo katika eneo la biashara yako ili kuangalia biashara inavyo kwenda, mapungufu na hata wakati mwingine unahudumia kabisa kama ninavyo muonaga huyu Mwajuma nichokonoe anavyo fanyaga.

Asante mkuu
 
Naweza ila isiwe ya kuhamia huko,
Biashara ya mashine za nafaka miezi ya mwanzo inakuingizia faida hiyo ya laki tatu na ukishazoeleka utakuwa unaingiza had I laki nane kwa mwezi fursa hii IPO mkoa Wa geita vijijini huko nafaka ni nyingi na wakulima ni wengi so solo la pumba ni uhakika kama upo interested nicheki pm
 
I take this advice, will work on it
 
Hii itanitaka niwepo huko, its difficult to my side
 
Imenilipa sana hii biashara sikosi laki 7 kwa mwezi
 
Mkuu, Nunua Gari pigia uber. Au

Anza biashara ya kuuza vitunguu vya jumla kutoka mikoani.

Au

Anza business ya kuuza mchele wa jumla kutoka Mikoani
 
LOAN AGAINST SALARY UKICHEZEA UMELIWA
ULIPASWA KUWA NA BUSINESS IDEA KABLA YA KUTAFUTA MTAJI.
NDOMANA WASHINDI WENGI
BBA
BSS
MISS TZ
SPORTPESA
TATUMZUKA
BIKO
NK

HUISHIA KUSIKOJULIKANA BILA KUACHA ALAMA YOYOTE
Safi sana
 
Imenilipa sana hii biashara sikosi laki 7 kwa mwezi
Hongera sana mkuu....
Ujue watu wengi huwa wanadharau sana hizi biashara za 500-1000, lakini binafsi hizo ndizo zinazo nipa jeuri ya maisha hapa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…