Tofauti na dar sehemu ingine huwezi?Kwa mwezi niwe na angalau faida ya kuanzia laki tatu mpaka tano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti na dar sehemu ingine huwezi?Kwa mwezi niwe na angalau faida ya kuanzia laki tatu mpaka tano.
Good....Kwa mwezi niwe na angalau faida ya kuanzia laki tatu mpaka tano.
Naweza ila isiwe ya kuhamia huko,Tofauti na dar sehemu ingine huwezi?
Hii biashara ni nzuri, ila kumbuka mimi siwezi kupatikana muda wote hapo, je nitaifanyajeGood....
Kama hivyo ndivyo, basi nakushauri uanze na biashara ndogo ambayo pengine itakua mtaji ni chini ya 3.5m.
Kwa jiji la Darisalama, jipe muda na pitia kwenye mikusanyiko ya watu hasa maeneo ya stendi ama mwendo kasi bus stop (kwamfano msimbazi). Kisha tafuta eneo lako dogo ambalo unaweza likatosha kuweka mashine yako ndogo ya kukamua muwa (juice ya miwa). Na anza biashara hiyo mkuu, na hakika hautojuta kwasababu kwanza mali ghafi zinapatikana kwa wingi na rahisi. Na pia kila glass ya juice utauza kwa sio chini ya 500 pesa ya Tanzania, na kwa joto la Darisalama pamoja na mirundikano ya watu kwenye maeneno kama Karume, Jangwani, Msimbazi, Congo na kadhalika......
Ebu tafakari hii kitu na ujaribu mkuu
Mkuu, skuizi ili tufikie tunapotaka tunapaswa malengo.Hii biashara ni nzuri, ila kumbuka mimi siwezi kupatikana muda wote hapo, je nitaifanyaje
Biashara ya mashine za nafaka miezi ya mwanzo inakuingizia faida hiyo ya laki tatu na ukishazoeleka utakuwa unaingiza had I laki nane kwa mwezi fursa hii IPO mkoa Wa geita vijijini huko nafaka ni nyingi na wakulima ni wengi so solo la pumba ni uhakika kama upo interested nicheki pmNaweza ila isiwe ya kuhamia huko,
I take this advice, will work on itMkuu, skuizi ili tufikie tunapotaka tunapaswa malengo.
Na ili ufanikiwe kwenye biashara, haupaswi kuogopa hasara/kuibiwa.
Lakufanya, tafuta kijana mwenye anajua hiyo ama aina hiyo ya biashara (tembelea wauza juice ya miwa), na kisha fanya nae mazungumzo kwa idadi ya kila muwa ama mzigo wa muwa unatoa glasi ngapi, jumlisha na viungo, na kisha weka nae mikakati kwamba kwa kila mzigo wa miwa, yeye atakua anakuletea pesa ngapi kwa siku.
Pia hakikisha kila juma mosi na jumapili unakuwepo katika eneo la biashara yako ili kuangalia biashara inavyo kwenda, mapungufu na hata wakati mwingine unahudumia kabisa kama ninavyo muonaga huyu Mwajuma nichokonoe anavyo fanyaga.
Asante mkuu
Kama umenitukana, Mwenyewe..[emoji53] [emoji53]I take this advice, will work on it
Hii itanitaka niwepo huko, its difficult to my sideBiashara ya mashine za nafaka miezi ya mwanzo inakuingizia faida hiyo ya laki tatu na ukishazoeleka utakuwa unaingiza had I laki nane kwa mwezi fursa hii IPO mkoa Wa geita vijijini huko nafaka ni nyingi na wakulima ni wengi so solo la pumba ni uhakika kama upo interested nicheki pm
Kama umenitukana, Mwenyewe..[emoji53] [emoji53]
Maana hata sijakuelewa
Imenilipa sana hii biashara sikosi laki 7 kwa mweziGood....
Kama hivyo ndivyo, basi nakushauri uanze na biashara ndogo ambayo pengine itakua mtaji ni chini ya 3.5m.
Kwa jiji la Darisalama, jipe muda na pitia kwenye mikusanyiko ya watu hasa maeneo ya stendi ama mwendo kasi bus stop (kwamfano msimbazi). Kisha tafuta eneo lako dogo ambalo unaweza likatosha kuweka mashine yako ndogo ya kukamua muwa (juice ya miwa). Na anza biashara hiyo mkuu, na hakika hautojuta kwasababu kwanza mali ghafi zinapatikana kwa wingi na rahisi. Na pia kila glass ya juice utauza kwa sio chini ya 500 pesa ya Tanzania, na kwa joto la Darisalama pamoja na mirundikano ya watu kwenye maeneno kama Karume, Jangwani, Msimbazi, Congo na kadhalika......
Ebu tafakari hii kitu na ujaribu mkuu
Unafanyia sehemu gani hii businessImenilipa sana hii biashara sikosi laki 7 kwa mwezi
Haikulazimu kuwepo unakua na msimamizi tuHii itanitaka niwepo huko, its difficult to my side
[emoji16][emoji16]Mwenyewe ningekuwa nazo hizo sijui ningefanyia nini.
Labda ninge bet
Safi sanaLOAN AGAINST SALARY UKICHEZEA UMELIWA
ULIPASWA KUWA NA BUSINESS IDEA KABLA YA KUTAFUTA MTAJI.
NDOMANA WASHINDI WENGI
BBA
BSS
MISS TZ
SPORTPESA
TATUMZUKA
BIKO
NK
HUISHIA KUSIKOJULIKANA BILA KUACHA ALAMA YOYOTE
Mmh mkuu ya kweli hayo?Imenilipa sana hii biashara sikosi laki 7 kwa mwezi
Hongera sana mkuu....Imenilipa sana hii biashara sikosi laki 7 kwa mwezi