Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Fanya biashara ya mazao ya biashara utadouble kwa mda mfupi if interested pm
 
Anzisha uwakala wa M- Pesa,Tigo pesa,Hallopesa,Crdb na Nmb, tafuta location nzuri yenye msongomano wa watu,kwa hicho kiasi kinatosha kabisa.
 
Reactions: amu
Lete hio 10 weka kwa business nnayofanya saizi. Imesajiliwa kihalali, ina uhakika wa mpk laki 6 kwa mwezi, mie nitaiendesha chini ya makubaliano, katika kola pato la ela yako, tutakubaliana unipe kamisheni kama faida yangu ya kusimamia mtaji wako.

Ikikupendeza njoo inbox tuyajenge
Busines ina miaka 6
 
Ok
 
Anzisha uwakala wa M- Pesa,Tigo pesa,Hallopesa,Crdb na Nmb, tafuta location nzuri yenye msongomano wa watu,kwa hicho kiasi kinatosha kabisa.
Bei za frem location nzuri zenye watu wengi si chini ya milion moja, So atalipa kodi ya miezi sita, akiwalipa na madalali anabaki na 3m , sasa milion tatu atafanya nao biashara gani ambayo inaweza kulipia eneo analolipia milion moja kwa mwezi?
 
Tunatoa huduma ya wazo la biashara, kusimamia biashara na kuandika mpango wa biashara. Kama utahitaji ni pm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…