Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu una ushauri mzuri kweliUkiwa na hela basi I dear utapata.
Pendelea kutembeleaa maeneo ya Mabibo hostel mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu una ushauri mzuri kweliUkiwa na hela basi I dear utapata.
Pendelea kutembeleaa maeneo ya Mabibo hostel mkuu.
My DM is also open.njoo pm tufanye biashara tunahitaj mtaji wa milion tatu tu ila tutakuwa na uhakika wa kuingza faida ya laki moja per day
[emoji115] huyo hapo anaonekana mkweli kidogo... ila ni maono tu... mengine yote ni majukumu yako...njoo pm tufanye biashara tunahitaj mtaji wa milion tatu tu ila tutakuwa na uhakika wa kuingza faida ya laki moja per day
Hii imesha endelea tayar but changamoto ni msimamiz Bana nilikua nauza piza na BAGER na vitu vingine ving
Jamani wekeni idea hapa kila mtu aone kwa faida ya wote.Njoo pm tufanye makubaliano
Lete hio 10 weka kwa business nnayofanya saizi. Imesajiliwa kihalali, ina uhakika wa mpk laki 6 kwa mwezi, mie nitaiendesha chini ya makubaliano, katika kola pato la ela yako, tutakubaliana unipe kamisheni kama faida yangu ya kusimamia mtaji wako.Habari wadau,
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu kua nina hela ila sijajua nizifanye biashara gani sababu kazi yangu ninayo fanya kwanza inanifanya kuwa bize sana.
Mtaji ni Milion 10 nataka mtu mwenye wazo la biashara la mtaji huo pia ambae atakua na muda wa kusimamia hiyo biashara.
Malipo au jinsi ya kulipana tutaongea.
Hii biashara iko wapi?Hii imesha endelea tayar but changamoto ni msimamiz Bana nilikua nauza piza na BAGER na vitu vingine ving
OkLete hio 10 weka kwa business nnayofanya saizi. Imesajiliwa kihalali, ina uhakika wa mpk laki 6 kwa mwezi, mie nitaiendesha chini ya makubaliano, katika kola pato la ela yako, tutakubaliana unipe kamisheni kama faida yangu ya kusimamia mtaji wako.
Ikikupendeza njoo inbox tuyajenge
Busines ina miaka 6
Bei za frem location nzuri zenye watu wengi si chini ya milion moja, So atalipa kodi ya miezi sita, akiwalipa na madalali anabaki na 3m , sasa milion tatu atafanya nao biashara gani ambayo inaweza kulipia eneo analolipia milion moja kwa mwezi?Anzisha uwakala wa M- Pesa,Tigo pesa,Hallopesa,Crdb na Nmb, tafuta location nzuri yenye msongomano wa watu,kwa hicho kiasi kinatosha kabisa.
Habari wadau,
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu kua nina hela ila sijajua nizifanye biashara gani sababu kazi yangu ninayo fanya kwanza inanifanya kuwa bize sana.
Mtaji ni Milion 10 nataka mtu mwenye wazo la biashara la mtaji huo pia ambae atakua na muda wa kusimamia hiyo biashara.
Malipo au jinsi ya kulipana tutaongea.
Si useme hapa mkuu na wengine wanufaikeNjoo pm tufanye biashara tunahitaj mtaji wa milion tatu tu ila tutakuwa na uhakika wa kuingza faida ya laki moja per day
Ukiwa na hela basi Idea utapata.
Pendelea kutembeleaa maeneo ya Mabibo hostel mkuu.