Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Fanya biashara ya mazao ya biashara utadouble kwa mda mfupi if interested pm
 
Anzisha uwakala wa M- Pesa,Tigo pesa,Hallopesa,Crdb na Nmb, tafuta location nzuri yenye msongomano wa watu,kwa hicho kiasi kinatosha kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Habari wadau,

Kama kichwa kinavyo sema hapo juu kua nina hela ila sijajua nizifanye biashara gani sababu kazi yangu ninayo fanya kwanza inanifanya kuwa bize sana.

Mtaji ni Milion 10 nataka mtu mwenye wazo la biashara la mtaji huo pia ambae atakua na muda wa kusimamia hiyo biashara.

Malipo au jinsi ya kulipana tutaongea.
Lete hio 10 weka kwa business nnayofanya saizi. Imesajiliwa kihalali, ina uhakika wa mpk laki 6 kwa mwezi, mie nitaiendesha chini ya makubaliano, katika kola pato la ela yako, tutakubaliana unipe kamisheni kama faida yangu ya kusimamia mtaji wako.

Ikikupendeza njoo inbox tuyajenge
Busines ina miaka 6
 
Ok
 
Anzisha uwakala wa M- Pesa,Tigo pesa,Hallopesa,Crdb na Nmb, tafuta location nzuri yenye msongomano wa watu,kwa hicho kiasi kinatosha kabisa.
Bei za frem location nzuri zenye watu wengi si chini ya milion moja, So atalipa kodi ya miezi sita, akiwalipa na madalali anabaki na 3m , sasa milion tatu atafanya nao biashara gani ambayo inaweza kulipia eneo analolipia milion moja kwa mwezi?
 
Tunatoa huduma ya wazo la biashara, kusimamia biashara na kuandika mpango wa biashara. Kama utahitaji ni pm mkuu

Back
Top Bottom