Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 845
Mkuu Mimi nilichati nao, niliambiwa hiyo rate ni kuanzia 700m and above. Na Nina chart ya rate from 500k to 199,999,999! Ambayo ni between 2%and 7% inclusive. Hiyo ya kwenye website yao nadhani kwa kiasi Fulani ni kwa ajili ya kuvutia watu wenye pesa nyingi...!Naona ni 9.5% mkuu
View attachment 1521185
Sema bado ni pesa ndogo ukilinganisha na kuingiza kwenye biashara
Mkuu hii ina watu wengi sanaKampuni ya usafi.
Inaweza kulipa mkuu vzrFanya biashara ya vyakula vya mifugo. Mfano, Nenda mikoani nunua pumba za mahindi elfu 10 kwa gunia, fikisha Dar uuze kwa elfu 40 kwa gunia au zaidi
Sana mkuu. Fanyia Utafiti mdogoInaweza kulipa mkuu vzr
Kuna jamaa moja pia ameniambia kuhusu nyama,yy ameniambia nifungue bucha pamoja na m pesa,tigo pesa na Airtel moneyFungua bucha la kitimoto [emoji241] kama imani inaruhusu asee asee utanipa mrejesho
Aende Musoma. Achukue samaki wabichi aweke kwa friza auze Bei ya jumla na reja reja. Au Kama ni jank Hana familia ahamie Musoma awe anauza Bei ya jumla huko huko🤸🤸mradi apate room yenye Luku yake🤸🤸🤸! Yaan ajumue kwa wavuvi auze uwiii uwiiiiii... ! Within a 6mthns😷🙌Auze wapi? Na kivipi?
Yaani afungue duka au sokoni au atembeze au ajumlishe? Mfafanulie kidogo
Nalifanyia research piaAende Musoma. Achukue samaki wabichi aweke kwa friza auze Bei ya jumla na reja reja. Au Kama ni jank Hana familia ahamie Musoma awe anauza Bei ya jumla huko huko[emoji1732][emoji1732]mradi apate room yenye Luku yake[emoji1732][emoji1732][emoji1732]! Yaan ajumue kwa wavuvi auze uwiii uwiiiiii... ! Within a 6mthns[emoji40][emoji119]
Kila la heriNalifanyia research pia
Musoma sehemu gani? Je lazima mtaji uwe million 10 kwenye Hiyo biasharaAende Musoma. Achukue samaki wabichi aweke kwa friza auze Bei ya jumla na reja reja. Au Kama ni jank Hana familia ahamie Musoma awe anauza Bei ya jumla huko huko🤸🤸mradi apate room yenye Luku yake🤸🤸🤸! Yaan ajumue kwa wavuvi auze uwiii uwiiiiii... ! Within a 6mthns[emoji40][emoji119]
Visiwani ...viko visiwa mob ...mtu mmoja anaweza chukua kilo 1000 lazima uanze na mtaji mnene uweze liteka soko ...ingawa sio lazimaMusoma sehemu gani? Je lazima mtaji uwe million 10 kwenye Hiyo biashara
Madame ulishawahi motivation speakerVisiwani ...viko visiwa mob ...mtu mmoja anaweza chukua kilo 1000 lazima uanze na mtaji mnene uweze liteka soko ...ingawa sio lazima
Ndo nayofanya mpka sasa na kautapeli kidg..siku zinaenda mkuuMadame ulishawahi motivation speaker