Hizo bajaj zinapatikana wapi?Kama una leseni na muda nunua TVS bajaj used ya 4m zipo nyingi tu ukomae nayo mwenyewe kufunga ef30 kawaida sana wanapiga mpaka 50,60 kwa siku.Utatumia kama laki 2,3 kufanya service ndogo inayobaki 800k acha kwenye acc kwa ajili ya dharula.
NOTE:Brand ni Tvs tu si nyingine
Nicheki pmViatu vya kike kuna eneo jamaa anataka 150k mwezi eneo la wazi anataka miezi sita mm nikitoa hiyo pesa nakosa mtaji kujenga banda 300k hivyo inatumika kama 1200k hivi 800k tunaanza mtaji mdogo mdogo
Bank gani nzuri mkuu kuweka mzigo?ina
Bank gani nzuri mkuu kuweka mzigo?
Rafiki hakuna biashara rahisi kama hii, na uzuri wa biashara hii haiitaji uharaka-haraka, kama wewe unahitaji milioni za chap-chap basi usiwekeze huku.Hii biashara ni nzuri naskia.
Ila upate sehemu nzuri ya kuhifadhia mpunga
Upate watu wazoefu watakaokusaidia kupata wateja.
Na pia wakusaidie kukuzoesha katika biashara.
Kinyume na hapo utaisoma namba
Inategemeana na bank, na sitaki niisifie hii na niikandie hii, ila kama unania ya dhati na hili, usiogope kutembelea kila tawi na kunagotiate nao na ukiona hawakulipi vema hata kama ni bank maarufu acha nenda kwingine.Bank gani nzuri mkuu kuweka mzigo?
Siyo kujinyonga tu bali kujinyonga hadi kujining'iniza juu tena ...imagine una bet kwa man u [emoji22][emoji22]Dah unataka mtu ajinyonge wewe
Mkuu, embu elezea vizuri hii....umerukaruka sana, funguka kidogo.Tuwekeze katika mambo ya decoration .kila watoto wanazaliwa.
Party and balloon decoration
Kuna arobaini
Kichen party
Event kama yote
Faida katika event faida ukosi .
Locatio town Ilala kwa waarabu .
Uswahili wanapenda sana tena ila pesa hawana wanalalia sana
Msingi vifaa tu aviozi miaka 20 na gari la delivery (kirikuu)
Hii unafungua duka linalo usu mapambo kwa kutumia balloon yaani balloon decoration pamoja na event zote za kitaifa mfano cutomer day au nationa day .Mkuu, embu elezea vizuri hii....umerukaruka sana, funguka kidogo.
Safi sana,Hii unafungua duka linalo usu mapambo kwa kutumia balloon yaani balloon decoration pamoja na event zote za kitaifa mfano cutomer day au nationa day .
Hii faida inakuja kwenye kukodisha frame z birthday ila iwe kiprofessional zaidi maana wengi wanafanya ila kilocal zaidi .
Bei ya chini kabisa unaweza fanya kwa 100,000 yaani hiyo simple decoration kwa ajili ya picha kw mfano .
View attachment 2174792
View attachment 2174793
View attachment 2174794
View attachment 2174795
View attachment 2174796
View attachment 2174797
View attachment 2174798
View attachment 2174799
Can you just explain this plz, i think umeongea kitu kikubwa HadrianusRiba inaleta maradhi yasio tibika.
Bank gani nzuri mkuu kuweka mzigo?
Ivi bado mnaweka pesa bank???? Ni bora ×1000 kuweka pesa UTT AMIS wanatoa rate nzur mno na kuna flexibilityNenda bank weka hiyo hela yote fixed acc, kwa miezi 6 tu, upate angalau 40,000/= au 50,000/= kila mwezi, huku ukisubiri kipindi cha mavuno bei ikipungua, chukua fedha yako yote bank, then nunua mchele weka stock bei ikipanda uza. Lazima utatoboa. Mambo ni taratibu.
Weka pesa yako UTT AMIS hutojutia trust meBank gani nzuri mkuu kuweka mzigo?
UTT AMIS ndio nini mkuu?Weka pesa yako UTT AMIS hutojutia trust me
UTT AMIS ndio nini mkuu?
ndo zile za kuchangia?Pia Leo nimepata connection ya frame kariakoo kwa mwezi 250k kama uko dar tunaweza kuonana tukapanga kama tukiridhiana