The Red Pen
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 517
- 206
Njoo BUGURUNI Dar es Salaam ufungue danguro. Litakulipa sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dom ukipata kiwanja sehemu nzri ukajenga guest utakula kwa mrija!! si unajuwa wazee wa kitalani vikao vingi huko + madent!!!
we nawe ...hiyo hela njoo nayo tukakupeleke kwenye bar zenye mademu wakali tupige monde ...mambo ya biashara achia wachaga
Wakati unatafakari fungua account pale Mkombozi bank ziweke hapo. Baada ya miezi sita ukipata wazo muafaka kachungulie kwenye account. Unaweza kukuta balance inatosha 50.4m!
Escrow part II ipo mbioni!
mtu anatafuta opinion nzuri .......we unaleta upuuzi wako
Dah... Nimesoma huu uzi tangu page ya kwanza mpaka ya mwisho na nimepata wazo jipya la kuingia nalo mwaka 2015. Eeh Mola nisaidie walau nitekeleze moja ya malengo yangu kwa msaada wako na thread hii....
Ng`ombe kweli wanalipa ( maziwa sio nyama),lakini jamaa yuko nje ya nchi. Mziki wa kutunza ng`ombe ukiwa mbali,tena ng`ombe wa maziwa si mchezo. Angekuwa Bongo ningemsaidia kumwonyesha kiwanja safi cha kufugia ng`ombe hao.
...shabaash! sasa Malila hebu nipatie mifano miwili mitatu ya hizo 'high risk business', ukiondoa biashara kichaa kama 'unga' nk...maana kuna watu watafikiria huku ilhali watu tuna heshima zetu.
Ni biashara gani ya muda mrefu ambayo naweza kuzitumbukiza hizi 10m/=, na huo muda mrefu unakadiria muda gani na returns zake kwa makisio?
...chief! sina pa kuzirudisha ndugu yangu, zishakuwa zangu hizi...ndio maana nataka nizizungushe zipate kuzaa.
...stanmokiwa, huu ushauri wako ni mzuri sana na nitaufanyia kazi, kwani umenionyesha naweza tumia 65% tu ya Mtaji! Je, Soko la maziwa si mbaya sana, au ndio kutegemeana na location?
...umeniacha feri mkuu, ngoja niachane nayo hiyo biashara ya 'kuchoma ndizi!'
...nilivyomuelewa mimi, amesema ni kiasi/wastani kama 1.5m/= kwa miezi mitatu kwa hao ng'ombe watano.
...Fidel80 hilo la biashara ya piki piki ni wazo zuri, hasa Kwakuwa vibajaj navyo vinazidi mijini,....ila nimevutiwa zaidi na hilo wazo la mgahawa... maana'ke watu watake wasitake watakula, hasa watu wa maofisini... siku za kazi (i.e Jumatatu-Ijumaa) mfano pale Dar City Centre ule mgahawa wa HEE-DEE! ...naliweka wazo lako kwenye daftari nije nilitafakur baadae, thanks!
...Farmer, maisha ndivyo yalivyo; kuna watu wanamipango ya biashara bila mitaji, na kuna wenye mitaji bila mipango ya biashara. Ndio maana nimetumbukiza karata hapa nipate mawazo ya wote.
...Mensarum shukran. Nadhani nanyi biashara yenu ni kutoa ushauri! Ni wazo mojawapo umenipatia, shukran... tutawasiliana.
helow mimi mwanafunzi wa chuo kikuuu cha Dodoma ugavi na manunuzi mwaka wa mwisho nimejipanga na ninakiasi cha 5000000 nahitaji wap naweza wekeza ili kupata more profit
Hivi amebainisha kama ni kweli yu nje ya nchi? Na kama ni hivo mbona hakuzungumzia kabisa kuhusu msimamizi?
Uzi huu ni wa kitambo kidogo, wakati huo alikuwa majuu, sasa hivi tuko wote Mkuranga tunaokota mabibo !!!!!!!!